Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Janga la Corona linaenda kuharibu uchumi wa dunia kabisa sekta ya utalii itapigwa vibaya sana uchumi wa mikoa inayotegemea utalii utaanguka kwa kiwango kisicho cha kawaida .
Serikali ziangalie namna ya kufidia sekta hizi ili kuziokoa vinginevyo itakuwa ni zaidi ya kipindi kile cha vita ya Idi Amini.
Bajeti ya serikali ya mwaka huu itoe stimulus package ili kuokoa see nyeti vinginevyo kila kitu Kita paralyse.
Matumaini yaliyokuwapo kwa wafanyakazi wa sekta ya umma kwamba labda mwaka huu wa uchaguzi wataongezwa mishahara wayaondoe kabisa kwasababu hakuna uzalishaji mkubwa utakaoweza kubeba mzigo huo.
Kiufupi korona Sasa inaenda kugusa mfupa wa Mt mmoja mmoja .
Hali si shwari tusidanganyane!
Huu ni muda wa kusaidiana na serikali maana taifa liko vitani.