Tunajenga reli na stiglers. Mambo mengine ni longolongo!Serikali yangu haikuleta Corona wala Corolla,sitatoa hio sijui STIMU wala Package-Mkulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia tunawaomba? tunawalazimisha watupe.Mnaenda kuomba wapi safari hii??kwa walewale mnaowaita kila uchao Mabeberu??ngoma inogile