Janga la moto Los Angeles ni aibu sana kwa taifa kama Marekani

Janga la moto Los Angeles ni aibu sana kwa taifa kama Marekani

Huu moto ungekuwa umetokea Iran sasa hivi uzi ungekuwa umejaa wamarekani uchwara na comment zao zingekuwa ni Iran inatumia pesa kutengeneza makombora badala ya kuwekeza kwenye majanga.
Huo moto ungetokea Iran,wale wamarekani weusi wa Tunduru wangesikika hapa wakisema;

''Mossad na CIA wamesha fanya yao tayari"
 
Huu moto ungekuwa umetokea Iran sasa hivi uzi ungekuwa umejaa wamarekani uchwara na comment zao zingekuwa ni Iran inatumia pesa kutengeneza makombora badala ya kuwekeza kwenye majanga.
Kweli kabisa
 
Ongeza na hili intelligence ya Israel ni hatari imeona kupigana vita ni kupota pesa na Mali hivyo imekuja na mbinu mpya ya kivita ya moto.

Hivyo Iran inateketea kwa moto bila risasi na wale mashabiki maandazi wa dini wagesema hasira za Mungu zimewaka kwa taifa lake kuchokozwa.
Israel ni kansa kwenye hii dunia, wanafanya duniani kuwe sehemu hatari sana kwa binadamu kuishi
 
Mkuu emu shusha pumzi kidogo yawezekana wewe si muumini wa dini yoyote, lakini elewa Mungu yupo na yeye ndie mwenye uwezo wa kila kitu, hii dunia ameiumba yeye pamoja na vilivyomo na vyote vipo kwa usimamizi wake yeye, hakuna anachoamua yeye kitokee na kikashindikana kutokea, wala hakuna wa kuzuia mpaka kwa amri yake yeye, na yeye ndio mlinzi.

Ukubwa wowote wa Taifa la Marekani US au Taifa lolote duniani ambalo kwa akili yako unaona ni superpower kwa Mungu si chochote, na hii dunia ina mwisho itaondoka pia.
Wamerakani ni watu wanaojifanya wako very perfect kuliko binadamu yyote hapa dunia. Fwatilia mambo ya siasa ya dunia utanielewa. GE0 POLITICS za dunia
 
Back
Top Bottom