Janga la moto Los Angeles ni aibu sana kwa taifa kama Marekani

Huu moto ungekuwa umetokea Iran sasa hivi uzi ungekuwa umejaa wamarekani uchwara na comment zao zingekuwa ni Iran inatumia pesa kutengeneza makombora badala ya kuwekeza kwenye majanga.
Huo moto ungetokea Iran,wale wamarekani weusi wa Tunduru wangesikika hapa wakisema;

''Mossad na CIA wamesha fanya yao tayari"
 
Huu moto ungekuwa umetokea Iran sasa hivi uzi ungekuwa umejaa wamarekani uchwara na comment zao zingekuwa ni Iran inatumia pesa kutengeneza makombora badala ya kuwekeza kwenye majanga.
Kweli kabisa
 
Israel ni kansa kwenye hii dunia, wanafanya duniani kuwe sehemu hatari sana kwa binadamu kuishi
 
Wamerakani ni watu wanaojifanya wako very perfect kuliko binadamu yyote hapa dunia. Fwatilia mambo ya siasa ya dunia utanielewa. GE0 POLITICS za dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…