Janga la mshahara mpya kwa walimu.

Janga la mshahara mpya kwa walimu.

Kaka shauri hata watano tuuuuuu bhaaaaas wanatosha ili kuepuka CCM mwaka buku2 na kumi na jala. M also a teacher. I will do so n equaly, i will leave this job as soon as i get the other.
Nimecheka sana niliposoma hii post kwa dizaini hii ya walimu wadogo zetu kazi wanayo
 
Du mi mbona napenda ualimu atakueje sasa? but hofu inapungua CHADEMA inaingia madarakani hivi punde tu tusubiri 2015
 
•It is often assumed that when one knows the subject matter well, then such a person is capable of teaching the subject.
•This does not amount to teaching
•What makes teaching a profession, like others, is that it has its own principles, ethics and unique practices.hi sentensi inaonesha jinsi gani ualimu ilivyo taaluma na sio wito! kwahiyo serikali inayofikilia kua itaendelea kuwaonea walimu kwa kisingizio hicho .inafikia kipindi inafyatua walimu kama matofali ikidhani kua ualimu ni kazi nyepesi tu! shame to all magamba!
 
Jaman kaz ya ualimu? jiulize walimu wa 2000 backward wangap wananyumba nzur za kuish ppte iwe mjin au village! hv kwel bdo jamii haion kuwa ni uonev dhidi ya walimu!

Ulilazimishwa kuchagua ualimu? Kama vipi acha kazi kiroho safi kisha nenda huko unakoona kuna unafuu.
Au kuacha kazi nalo unazuiliwa? Kumbuka hivi sasa tu watu wa uria, unachagua kazi unayotaka, acha kulaumu kama hoja zako hazijashughulikiwa na kama mwajiri yu kinyume na makubaliano ya ajira, mburuze mahakamani
 
Back
Top Bottom