Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Wakiingia tz tunawageuza chakula wenyewe twalia ugaliNzige wenyewe wanasonga na rate ya kilomita 150 kwa siku, speed ya 16km/hr wakifagia kila kitu njiani. Alafu badala ya kufahamishana mmekomalia kuisema na kuiandama Kenya. Nangoja kuona mkijenga ukuta kama ule wa Mirerani, washenzi sana nyinyi viumbe.![]()
Why the locust invasion now
Swarms of destructive insects came from Somalia, entering the country through Manderawww.nation.co.ke
Sent using Jamii Forums mobile app