Huu upuuuzi ulisomea wapi? Hakuna swag ya kuchanganya L na R au kuandika abari badala ya habari, balabala badala ya barabara.. mbona wewe hujaandika huo upuuuzi unaouita swaggaNadhan watu kama wewe ndio Janga la taifa.Kwa sababu unaangalia kiwango cha elimu ya mtu kwa jinsi mtu anavyoandika bila kuangalia muktadha.
Ni kawaida mtu kutumia maneno fulani ya swagz katika Maandishi ambayo sio official as long as wanaelewana.
Hapana..................siyo swagz wala nini...ni kwamba hawajui kuandika ...siku hizi mtu anaweza kumaliza darasa la saba lakini hajui kuandika waka kusomaNadhan watu kama wewe ndio Janga la taifa.Kwa sababu unaangalia kiwango cha elimu ya mtu kwa jinsi mtu anavyoandika bila kuangalia muktadha.
Ni kawaida mtu kutumia maneno fulani ya swagz katika Maandishi ambayo sio official as long as wanaelewana.
Wewe ndo umesomea ujinga kwa sababu hujui kuangalia muktadha angeandika hivyo katika maandishi ya kiofisi kweli lingekuwa tatizo.Huu upuuuzi ulisomea wapi? Hakuna swag ya kuchanganya L na R au kuandika abari badala ya habari, balabala badala ya barabara.. mbona wewe hujaandika huo upuuuzi unaouita swagga
Hili ni janga sababu wengi wanaokosea ni watu ambao wamesoma na ndo tungetegemea wawe waandishi wazuri, Hakuna mtu aliyelalamikia ambao hawakupata bahati ya kupata elimu nzuri. Hawa wasomi wanaandika upuuuzi huu huu hata kwenye mambo ya msingi yasiyohitaji hizo unazoita swag kama wangekua wanamaanisha swagger tu.
Umeongea pumba nadhani ulienda shuleni kusomea ujinga.
Hakuna inbox ya publicFb mpaka walinzi wa shule wamo wanatongoza madent inbox ya public
TanganyikaJanga La Taifa Gani?
Kichwa chako kimejaa makamasi, Hakuna uandishi unaoruhusu kuweka L badala ya R au kinyume. Kifupi Cha maneno ni tofauti kabisa na kutokujua kuandika, wengi wao ukiwaambia wanakiri kabisa kwamba aidha walikua hawajui au hawaoni tofauti. Kuna ulazima gani wa kuandika balabala badala ya Barabara. Umefupisha nini? Hujaokoa nguvu wala muda maana bado idadi ya herufu ni ile ile, zaidi umeonyesha kiwango chako cha ujinga tu.Wewe ndo umesomea ujinga kwa sababu hujui kuangalia muktadha angeandika hivyo katika maandishi ya kiofisi kweli lingekuwa tatizo.
Lakini katika mawasiliano ya kawaida na wahusika wanaelewana ni kawaida tu.Language goes with context acha kutetea ujinga wako.
Hakuna cha swaga hapoFacebook Hakuna mwenye elimu ndogo, maana ukiangalia profile za watu kila mtu kafika chuo kikuu hasa hiki cha Dar es Salaam mara utakuta mtu kaandika UDSM, SAUT, MZUMBE, UDOM.... lakini cha ajabu uandishi wao ndo unanishangaza sasa utakuta mtu anaandika
*"abali yako vip reo humeangaria mpila?"*[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nadhan watu kama wewe ndio Janga la taifa.Kwa sababu unaangalia kiwango cha elimu ya mtu kwa jinsi mtu anavyoandika bila kuangalia muktadha.
Ni kawaida mtu kutumia maneno fulani ya swagz katika Maandishi ambayo sio official as long as wanaelewana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna inbox ya public
Nadhan watu kama wewe ndio Janga la taifa.Kwa sababu unaangalia kiwango cha elimu ya mtu kwa jinsi mtu anavyoandika bila kuangalia muktadha.
Ni kawaida mtu kutumia maneno fulani ya swagz katika Maandishi ambayo sio official as long as wanaelewana.