Janga la Taifa

Janga la Taifa

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
12,599
Reaction score
26,263
IMG-20180103-WA0045.jpg
 
Facebook Hakuna mwenye elimu ndogo, maana ukiangalia profile za watu kila mtu kafika chuo kikuu hasa hiki cha Dar es Salaam mara utakuta mtu kaandika UDSM, SAUT, MZUMBE, UDOM.... lakini cha ajabu uandishi wao ndo unanishangaza sasa utakuta mtu anaandika

*"abali yako vip reo humeangaria mpila?"*[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nadhan watu kama wewe ndio Janga la taifa.Kwa sababu unaangalia kiwango cha elimu ya mtu kwa jinsi mtu anavyoandika bila kuangalia muktadha.

Ni kawaida mtu kutumia maneno fulani ya swagz katika Maandishi ambayo sio official as long as wanaelewana.
 
Huu upuuuzi ulisomea wapi? Hakuna swag ya kuchanganya L na R au kuandika abari badala ya habari, balabala badala ya barabara.. mbona wewe hujaandika huo upuuuzi unaouita swagga

Hili ni janga sababu wengi wanaokosea ni watu ambao wamesoma na ndo tungetegemea wawe waandishi wazuri, Hakuna mtu aliyelalamikia ambao hawakupata bahati ya kupata elimu nzuri. Hawa wasomi wanaandika upuuuzi huu huu hata kwenye mambo ya msingi yasiyohitaji hizo unazoita swag kama wangekua wanamaanisha swagger tu.

Umeongea pumba nadhani ulienda shuleni kusomea ujinga.
 
Hapana..................siyo swagz wala nini...ni kwamba hawajui kuandika ...siku hizi mtu anaweza kumaliza darasa la saba lakini hajui kuandika waka kusoma
 
Huu upuuuzi ulisomea wapi? Hakuna swag ya kuchanganya L na R au kuandika abari badala ya habari, balabala badala ya barabara.. mbona wewe hujaandika huo upuuuzi unaouita swagga

Hili ni janga sababu wengi wanaokosea ni watu ambao wamesoma na ndo tungetegemea wawe waandishi wazuri, Hakuna mtu aliyelalamikia ambao hawakupata bahati ya kupata elimu nzuri. Hawa wasomi wanaandika upuuuzi huu huu hata kwenye mambo ya msingi yasiyohitaji hizo unazoita swag kama wangekua wanamaanisha swagger tu.

Umeongea pumba nadhani ulienda shuleni kusomea ujinga.
Wewe ndo umesomea ujinga kwa sababu hujui kuangalia muktadha angeandika hivyo katika maandishi ya kiofisi kweli lingekuwa tatizo.

Lakini katika mawasiliano ya kawaida na wahusika wanaelewana ni kawaida tu.Language goes with context acha kutetea ujinga wako.
 
Kichwa chako kimejaa makamasi, Hakuna uandishi unaoruhusu kuweka L badala ya R au kinyume. Kifupi Cha maneno ni tofauti kabisa na kutokujua kuandika, wengi wao ukiwaambia wanakiri kabisa kwamba aidha walikua hawajui au hawaoni tofauti. Kuna ulazima gani wa kuandika balabala badala ya Barabara. Umefupisha nini? Hujaokoa nguvu wala muda maana bado idadi ya herufu ni ile ile, zaidi umeonyesha kiwango chako cha ujinga tu.

Ulienda shule kusomea ujinga.
 
Facebook Hakuna mwenye elimu ndogo, maana ukiangalia profile za watu kila mtu kafika chuo kikuu hasa hiki cha Dar es Salaam mara utakuta mtu kaandika UDSM, SAUT, MZUMBE, UDOM.... lakini cha ajabu uandishi wao ndo unanishangaza sasa utakuta mtu anaandika

*"abali yako vip reo humeangaria mpila?"*[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna cha swaga hapo
Nadhan watu kama wewe ndio Janga la taifa.Kwa sababu unaangalia kiwango cha elimu ya mtu kwa jinsi mtu anavyoandika bila kuangalia muktadha.

Ni kawaida mtu kutumia maneno fulani ya swagz katika Maandishi ambayo sio official as long as wanaelewana.
 
Nadhan watu kama wewe ndio Janga la taifa.Kwa sababu unaangalia kiwango cha elimu ya mtu kwa jinsi mtu anavyoandika bila kuangalia muktadha.

Ni kawaida mtu kutumia maneno fulani ya swagz katika Maandishi ambayo sio official as long as wanaelewana.

Ulietetea hili janga kwa madai ya context njoo umtetee waziri hapa na useme aliongea katika context ipi. Huyu ni waziri ila anasema wazili yani hata wadhifa wake mwenyewe hawezi utamka kwa usahihi sijui unatetea nini. Kasema Loma badala ya Roma, wazili badala ya waziri, azabu badala ya adhabu nk. Njoo umtetee na huyu kwamba haya matamako hayakua official au aliweka swagga nae

Tunaposema hili ni janga uwe unaelewa.
 
Back
Top Bottom