Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Huduma ya saloon/massage... daah huku ni balaa aisee janga la UKIMWI haliwezi kupotea kama hali itazidi kuwa hivi.
Huduma zinazotelewa uko SALOON yenye huduma ya massage ni huduma ambazo zinatakiwa zipatikane nyumbani kwa mke wako. Sasa wewe hushapata hiyo huduma saloon nyumban unaenda kupata nini ndoa maana vijana wanapinga kuoa kwasababu kila kitu kipo live kwa sasa.
Lakini tambua kila chenye faida kipo na hasara zake aisee wadada wanajiuza kuoitia hizo saloon/hostel n.k sehemu ambazo ninadra kusikia kama kunaendelea vitu kama hivo vya ukahaba.
Yangu ni hayo kwa leo.... tutafakari