Janga linatufuata- bei ya umeme duniani inapanda kwa kasi

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,014
Reaction score
6,834

The Economist explains
Why has the price of electricity in Europe reached record highs?​

A shortage of natural gas and wind are to blame​

20210918_BLP504.jpg

Sep 15th 2021
IN EUROPE THE cost of electricity is soaring. Prices had been rising steadily this year, as economic recoveries got under way. But they have spiked in the past few weeks. Since the start of September, wholesale power prices in Germany and France have climbed by 36% and 48%, respectively. They are now hovering at around €160 ($189) per megawatt hour, a record level. In Britain prices are at a whopping £385 ($532), up from £147 a few weeks ago. What explains the surge?
20210918_woc281.png

Watu Watakwambia ni mafisadi wamepandisha .Tusipokuwa na ukame hakuna bei itapanda.

Shida kubwa itakuwa ni bei za mafuta ndio zinatutesa kwa sasa.

Hii ni fursa waharakishe ule mradi wa LPG ya Lindi tufanye biashara.
 
Team sukuma Chato gang watakwambia ni mafisadi wamepandisha .Tusipokuwa na ukame hakuna bei itapenda.

Shida kubwa itakuwa ni bei za mafuta ndio zinatutesa kwa sasa.

Hii ni fursa waharakishe ule mradi wa LPG ya Lindi tufanye biashara.
Usitete mafisadi wewe nyambura, sisi kwetu upepo na gas sio vyanzo vikuu vya umeme wetu hivyo usitumie kama kigezo cha kujikomba kwa hayo majizi
 
We kenge nini umesoma hata nilichoandika? Nyie majizi si mnasema bei za gas zimepanda kuna mafisadi? Mna akili timamu? WaTzn wangapi wanatumia gas kama Nishati? Hata asilimia 2 hawafiki
 
Aasee maisha yanasonga mbele kwa hatua kubwa ila matokeo yake yanaogofya.

Part II; Baada ya kukoswa na corona kuna njia nyingi za kukufanya upate ugonjwa wowote.

Uharibifu wa mazingira unasababishwa na binadamu na si kiumbe mwingine, uharibifu huo unafanyika kila pembe ya dunia na umeme unaotokana na upepo unakosekana.

Hata gas itokayo ardhini si kuwa inaisha au kupungua bali sababu kubwa ni uharibifu huo huo.

Majanga yanapotokea wakubwa a.k.a mabeberu huwa hawapati madhara makubwa bali wanaya cross country na kutuletea huku kwenye nchi za ulimwengu wa tatu.
 
Usitete mafisadi wewe nyambura, sisi kwetu upepo na gas sio vyanzo vikuu vya umeme wetu hivyo usitumie kama kigezo cha kujikomba kwa hayo majizi
umeme wwetu mwingi unatokana na gas- pokea taarifa
 
Watu Watakwambia ni mafisadi wamepandisha .Tusipokuwa na ukame hakuna bei itapanda.

Shida kubwa itakuwa ni bei za mafuta ndio zinatutesa kwa sasa.

Hii ni fursa waharakishe ule mradi wa LPG ya Lindi tufanye biashara.
Duh mkuu hebu nenda kapime upeo
 
The Economist explains​

Why has the price of electricity in Europe reached record highs?​

A shortage of natural gas and wind are to blame​

20210918_BLP504.jpg

Sep 15th 2021
IN EUROPE THE cost of electricity is soaring. Prices had been rising steadily this year, as economic recoveries got under way. But they have spiked in the past few weeks. Since the start of September, wholesale power prices in Germany and France have climbed by 36% and 48%, respectively. They are now hovering at around €160 ($189) per megawatt hour, a record level. In Britain prices are at a whopping £385 ($532), up from £147 a few weeks ago. What explains the surge?
20210918_woc281.png

Tuharakishe kwa kutoa kipaumbele kwenye miradi ya kuzalisha umeme kwenye bwawa la Nyerere, kwa kutumia gesi ya Mtwara, na kwa kutumia upepo. Kama miradi yote hii ikikamilika hatutakuwa na shida ya umeme.
 
Usitete mafisadi wewe nyambura, sisi kwetu upepo na gas sio vyanzo vikuu vya umeme wetu hivyo usitumie kama kigezo cha kujikomba kwa hayo majizi
Upepo na "gas" sio vyanzo vikuu vya umeme?! Man, seems like you're misinformed especially linapokuja suala la gas!!

Huenda unadhani chanzo chetu kikubwa kwa sasa ni umeme wa maji but be informed kwamba, as of now, chanzo kikubwa cha umeme ni gas kutoka Mtwara na Songosongo!!

Wakati umeme wa gas unakaribia 900MW, umeme wa maji hujafika hata 600MW!!

Leo hii Bomba la Mtwara peke yake likishindwa kusafirisha gas from Mtwara to Dar, automatically tunarudi kwenye mgao!
 
Wewe upo kwenye payroll ya mafisadi na kazi yako unaifanya kwa uadilifu hivyo pigania ugali wako.
 
Hebu weka hapa viwango vya umeme unaozalishwa na maji na ule unaozalishwa na gesi!!
 
Utaambiwa bei ya Unit moja soko la kimataifa imepanda na sisi huku tunaongeza bei.
 
The Economist explains​

Why has the price of electricity in Europe reached record highs?​

A shortage of natural gas and wind are to blame​

Hii habari haina uhusiano na Tanzania but Europe! Ni habari njema sana kwa Urusi ambayo, amekuwa na tabia ya kutumia gas yake kama bakora ya kuwatandikia NATO!!!

Na hili baridi la mwaka huu, lazima wamkome!!

This's why back in the days niliandika ni namna gani uchumi wa gas unavyoweza kuwa bakora tosha kwa TZ!
 
Back
Top Bottom