Janga lingine laikumba Libya, mafuriko yaua Watu 6,000, wengine 10,000 hawajulikani walipo

Tusikae kuzungumzia ya wenzetu Libya na Morocco, yaliyotokea Geita juzi ni wakeup bell yetu, tujiulize tumejiandaaje na majanga iwapo yatatokea,

Japokuwa siwaamini hawa wanasema watu wa Dar wauze magari yao au wayatoe sadaka kanisani kwakuwa April siyo shwari

What if utabiri wa TMA utaleta majanga Dar mvua zikianza kushuka October
 
Waarabu wamepigwa na disaster kikatili sana ndani ya hizi siku mbili tatu ,
Kule jangwa la Nevada wiki 2 zilizopita chupu chupu watu 70000 wafe.Mungu akamua kuwaachia na hawaoneshi kumshukuru.
Huu mfululizo wa majanga unataka iwe ni mazingatio.Hatuna elimu ya kujua lini yatakuja na hakuna mbinu za uhakika za kujiokoa.
 
Haya yanayotokea yalikwisha tabiriwa.. nimetafakari kwa kina yanayotokea Vita ya Ukraine...
Tetemeko uturuki na Syria, Na Tetemeko Morocco, Mafuriko ya Libya nk...

(Mathayo 24:3-13) Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia?
Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.
Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.
Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali.
Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.
Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana.
Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.
 

Hawa si walikua wanauza waafrica A.K.A black immigrants??

Malipo n hapa hapa dunian
 

Mpaka sasa habari za karibuni zinaonesha zaidi ya watu 5000 wamekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…