... ni wapumbavu wenye udumavu wa ubongo wanaoweza kufiri sembuse kutamka hivyo! Kila mahali majanga yapo kuanzia matetemeko kule Japan, Indonesia, Iran, Uturuki, Tanzania, Italia, Morocco, n.k.
Mafuriko kule India, China, Marekani, Uganda, Rwanda, Msumbiji, Malawi, Libya, Ugiriki, n.k. Jua kali/ukame tangu kule India, Ethiopia, Somalia, Sahel, n.k. Baridi kali Kaskazini mwa dunia, n.k. Mioto isiyoeleweka sehemu sehemu duniani, n.k. Volkano, ajali, n.k.
Huko kote sidhani ni Mungu anaadhibu "waovu" na kuwaacha "watakatifu". Kama janga halijafika mahali ni suala la muda tu; hakuna cha adhabu wala nini!