Hakuna katika miji hiyo watu waliosombwa kwa maelfu kama Libya.... ni wapumbavu wenye udumavu wa ubongo wanaoweza kufiri sembuse kutamka hivyo! Kila mahali majanga yapo kuanzia matetemeko kule Japan, Indonesia, Iran, Uturuki, Tanzania, Italia, Morocco, n.k.
Mafuriko kule India, China, Marekani, Uganda, Rwanda, Msumbiji, Malawi, Libya, Ugiriki, n.k. Jua kali/ukame tangu kule India, Ethiopia, Somalia, Sahel, n.k. Baridi kali Kaskazini mwa dunia, n.k. Mioto isiyoeleweka sehemu sehemu duniani, n.k. Volkano, ajali, n.k.
Huko kote sidhani ni Mungu anaadhibu "waovu" na kuwaacha "watakatifu". Kama janga halijafika mahali ni suala la muda tu; hakuna cha adhabu wala nini!
Mungu huchukizwa na mipango Yao ya kutakankuifanya dunia ( wakianzaia Afrika Algeria ni mfano) kuwa na dini Yao. Kiongozi wao gadafi alitumia rasilimali, nguvu za kijeshi( mfano wa vita ya Tanzania na uganda) , ushawishi wa kifedha kwa baadhi ya viongozi kuziruhusu nchi zao zijiunge na majumuia ya dini yaoHizi nchi za wazee wa TaQbir ni majanga sana
... context ni "majanga hayana mwenyewe"; hatupaswi kumcheka aliyepatwa na maafa kwa kumtazama kwa sifa zozote zile. Ubinadamu kwanza.Hakuna katika miji hiyo watu waliosombwa kwa maelfu kama Libya.
Maprofesa wetu watatusaidia kubuni njia za kuzuia majangaKama ajali za kawaida ambazo intervention ya kuzuia maafa tunashindwa miserably ,sasa disaster zikistrike ,si ndio kupoteana ?