Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Niliwahi kuandika humu kuhusu biashara ya WIFI kwenye jukwaa la story of change lakini watu walipokea kitofauti kwenye jukwaa lakini kiuhalisia iligusa wengi na watu wanajipatia kipato. Biashara hiyo 1 imezalisha biashara au ajira zaidi ya wazo hilo.
Sasa nasikitika sana kampuni ya serikali badala ya kusukuma jambo hilo au kuliboresha na kupata manufaa zaidi wameamua kuliua. Wiki zaidi ya mbili kwa watumiaji wa faiba ya TTCL watakuwa wameona tofauti kubwa sana.
Router ya TTCL ukiunganisha na vifaa vya kutumia kama simu,PC, hakuna shida ila ukichomeka ethernet ya mikrotik inakata,ukichomoa inapata muunganisho. Hii inamaanisha wameblock port zao kwenye usambazaji.
Je hii sawa? Kwanini kama wamegundua wateja wanafanya biashara waongezewe bei au wanunue kifurushi kulingana na mahitaji yao?.
Fanyeni uchunguzi kuhusu hili , lakini nataka kusema TTCL inaenda kupata anguko zito. Kama wamelimit watumiaji bora waseme kama kwa wafanyabishara waongeze kiasi fulani.. nina mengi sana ya kusema lakini TTCL hakuna ubunifu wa kulisaidia taifa.wanipe kazi niwashauri.