Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Asee mtaani ni majanga,kumbe mwanzo mlikuwa mna access ya logins?hawa jamaa walivyokuja na kampeni ya kuwanyima watumiaji access credentials za web page ya router yao nikajua chap walengwa ni kina nani
sikufikiria kama wangeenda mbali na ku block hizo eth port
walikuwa wanazitoa japo kwa mbinde sana, na uhongeAsee mtaani ni majanga,kumbe mwanzo mlikuwa mna access ya logins?
Kwa sasa nimeachana nao rasmi, mpaka watakaporudisha mfumo wa mwanzowalikuwa wanazitoa japo kwa mbinde sana, na uhonge
umpiga ngapiIpige bruteforce attack hio router itaachia yenyewe
Sema TTCL wajinga sana, bado wako kizamani mno wanaogopa ushindani..Kama ukichomeka PC kwa waya ikifanya kazi basi na router itafanya kazi kutakuwa na swala la configuration inabidi ucheze nalo upande wa mikrotik yako, ikishindikana hilo itabidi uweke PC in the middle ttcl--> Linux PC --> router yako. Technically hauwezi kuzuia hilo kwa kuwa ttcl router itaona ip/Mac ya hiyo PC tu na hakuna special port inayotumika. Wanachoweza kufanya ni kupunguza quality ya huduma overall wakiona unanyonya data sana etc. Kawa wanablock physical port kabisa hata PC haifanyi kazi itabidi uruke kwa wifi mara mbili badala ya waya, so pambana tu.
Cheza na ChatGPT itakusaidia.
Walkuzinguaje nao? Na ww una resell WiFi?Lo! Nilitaka kuhamia huko baada ya Airtel kunizingua! Kumbe na huko tena kuna majanga?
shida UONGOZISema TTCL wajinga sana, bado wako kizamani mno wanaogopa ushindani..
Naam ni tatizo sana hapo...shida UONGOZI