Najiuliza hili jambo mara nyingi kwani kuna wakati nilikuwa kule Sharjah,moja katika falme za kiarabu (IMARATI).
Siku moja ikanyesha mvua kubwa tena ya kutisha na kwa muda mrefu.
Nikajiuliza kule hakuna misitu kama huku kwetu tunayoitegemea kwa mvua,inakuwaje wapte mvua ?