political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
- Thread starter
-
- #21
Bado ujaujua mpira wa bongo vizuri..Kwa ligi yetu iliopofikia mchezaji anaweza kudai hela ya usajiri miaka miwili? humu JF ni sawa na kijiweni kila mtu anakuja na habari ilimradi kuchangamsha genge
Ligi yetu?Kwa ligi yetu iliopofikia mchezaji anaweza kudai hela ya usajiri miaka miwili? humu JF ni sawa na kijiweni kila mtu anakuja na habari ilimradi kuchangamsha genge
Hii si sawa na kuwa SIMBA ni Mbumbumbu, awe shabiki, au mwanachama wote ni mbumbumbu.
PATEKETee wanasema wanae GSMKIVUMBI NA JASHO: DJUMA, BANGALA
.
Djuma Shaban, Lomalisa Mutambala na kiraka Yannick Bangala juzi kwa nyakati tofauti wamegonga mlango wa kutaka kuondoka na kwenye vikao vyao kulihusisha majibizano makali.
.
Djuma na Bangala ndio walianza ambapo waliwasilisha ombi la kusitisha mwaka mmoja wa mkataba baada ya kutumikia mmoja kwa mafanikio Jangwani. Mikataba yao inaisha mwakani.
.
Habari za uhakika ni kuwa wawili hao awali walipewa nusu ya ada ya usajili na katika miezi ya karibuni wamekuwa wakifosi kumaliziwa bila mafanikio, hivyo Katika hoja zao ni kwamba kile kiasi walichopewa awali ni cha muda waliofanya kazi kwa hiyo wanachodai kitumike kusitisha mkataba sehemu iliyobaki jambo ambalo limeibua mjadala mzito ndani ya uongozi na hata kikao cha jana hakikufikia muafaka.
.
Mabosi wa Yanga wamepata uhakika kwamba wakishafanya uamuzi huo tu ndani ya siku mbili watani wao Simba na wapinzani wao Azam watashtua kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba “mgeni tumempata”. Simba na Azam zinashindana kimyakimya kusaka saini ya Bangala ambaye msimu mmoja uliopita alikuwa mchezaji bora wa ligi kwenda kuimarisha eneo la kiungo wa chini.View attachment 2660502
Wanamchukia Jemedari wakati ndie mkombozi wao, bila yeye kusanua ile issue wale watoto wa kike wangekula vumbi.Yanga Princess walikuwa na mpango wa kuandamana
Sijajua wamefikia wapi au pengine washalipwa
Wanapenda tu kuuza sura, mara wanatoa misaada kumbe hamna kitu, matapeli tupu.GSM dhulmat sana
Wakwepa kodi wabobevuWanapenda tu kuuza sura, mara wanatoa misaada kumbe hamna kitu, matapeli tupu.
YANGA ni mume anayekuna vzuri lazima mtujadili hata kwa uongo... Maandazi Makolo Madunduka FC niwaambie mkae kwa kutulia
Na ile ya Manara kuwa wenye akili ni wawili nayo hairuhusiwi kujumuishwa hapo juu?Hii si sawa na kuwa SIMBA ni Mbumbumbu, awe shabiki, au mwanachama wote ni mbumbumbu.
Kauli ya lucy imetuheshimu sisi wanachama.
Manara alisema akiwa kama Shabiki wa Simba, kwenye utani wake wa jadi, ni kama mnavyoitwa makolowizard.Na ile ya Manara kuwa wenye akili ni wawili nayo hairuhusiwi kujumuishwa hapo juu?
Kwa hiyo saizi Manara ni shabiki wa wapi?Manara alisema akiwa kama Shabiki wa Simba, kwenye utani wake wa jadi, ni kama mnavyoitwa makolowizard.
Ila hiyo ya Mbumbumbu ilisemwa na MWENYEKITI WENU, KUWA NYINYI NI MBUMBUMBU TENA ULIKUWA MKITANO MKUU WA SIMBA ULE.
Manara alisema akiwa Simba hivyo haina nguvu maana mpinzani anaweza kuongea chochote hata madai ya uwongo dhidi ya upande mwingine .Na ile ya Manara kuwa wenye akili ni wawili nayo hairuhusiwi kujumuishwa hapo juu?
Ilikuwa haina nguvu kipindi kile akiwa Simba.Manara alisema akiwa Simba hivyo haina nguvu maana mpinzani anaweza kuongea chochote hata madai ya uwongo dhidi ya upande mwingine .
Kauli ya Rage inapaswa kuwekewa Lamination kabisa ...
Nna ongelea NBC premier League huko timu za wanawake hakuna timu haidaiwi labda JKT QueensLigi yetu?
Kwani hili swala ni la ligi au ni matatizo ya ndani ya uongozi wa Club?
Yanga Princess wamedai kuwa sio mshahara tu hadi signing fee hawajalipwa. Sasa hapo ligi inaingiaje?
Simba Queens uliona wapi ikidaiwa?Nna ongelea NBC premier League huko timu za wanawake hakuna timu haidaiwi labda JKT Queens
Kama wanadai haki yao, viongozi wangewalipa mapema iwezekanavyo. Haya mambo ya madeni/madai huwa yanashusha sana morali ya wachezaji.KIVUMBI NA JASHO: DJUMA, BANGALA
.
Djuma Shaban, Lomalisa Mutambala na kiraka Yannick Bangala juzi kwa nyakati tofauti wamegonga mlango wa kutaka kuondoka na kwenye vikao vyao kulihusisha majibizano makali.
.
Djuma na Bangala ndio walianza ambapo waliwasilisha ombi la kusitisha mwaka mmoja wa mkataba baada ya kutumikia mmoja kwa mafanikio Jangwani. Mikataba yao inaisha mwakani.
.
Habari za uhakika ni kuwa wawili hao awali walipewa nusu ya ada ya usajili na katika miezi ya karibuni wamekuwa wakifosi kumaliziwa bila mafanikio, hivyo Katika hoja zao ni kwamba kile kiasi walichopewa awali ni cha muda waliofanya kazi kwa hiyo wanachodai kitumike kusitisha mkataba sehemu iliyobaki jambo ambalo limeibua mjadala mzito ndani ya uongozi na hata kikao cha jana hakikufikia muafaka.
.
Mabosi wa Yanga wamepata uhakika kwamba wakishafanya uamuzi huo tu ndani ya siku mbili watani wao Simba na wapinzani wao Azam watashtua kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba “mgeni tumempata”. Simba na Azam zinashindana kimyakimya kusaka saini ya Bangala ambaye msimu mmoja uliopita alikuwa mchezaji bora wa ligi kwenda kuimarisha eneo la kiungo wa chini.View attachment 2660502
Kwa hiyo timu ikamsajilli mchezaji aliyewahi kuwafunga wanakuwa hawana akili ?Ilikuwa haina nguvu kipindi kile akiwa Simba.
Saizi ina nguvu kwasababu imeonesha dhahiri shahiri kuwa ni ukweli alichokiongea kupitia kitendo cha nyie kumpokea tena.