Janja janja za kupata ajira katika kipind kigumu hiki katika soko la ajira

Janja janja za kupata ajira katika kipind kigumu hiki katika soko la ajira

Self-made

Member
Joined
Oct 14, 2020
Posts
8
Reaction score
28
kuhusu ajira zinazidi kuwa ngumu mnoo hasaa miaka hii ya 202+ tutapitia ugumu mwingi sana kuipata ajira, hivyo kuna njama nyingi sana tunatakiwa kuweza kuzitumia ili kupata ajira katika taasisi za kiserikali au zisizo za kiserlikali.. tukibakia huku kuapply na kufanya interview ambako kunachangamoto nyingi na figisu nying na huku wanasem kujitolea ndo kunawanyonya graduate mnoo kuliko maelezo. binafsi ni unemployed kama nyie humu ila nina mbinu mbadala wa namna ya kupambana na ajira katika izi zama ,,, hziii njama pia zinaweza kufanya kazii kwa kila mtu au zikafanya kwa baazi ya watu
njama ya kwanza wew tayar umemaliz chuo unacontent ya kitu umekisoma kaa chini angalia makampuni unayoona kama unaweza fanya nayo kazii na tafuta namna ya kupenya kwao .

Hapa nashaurii tuwe wajanja sana kwenye kuandika documents mbali mbali zinazohusu makampun tunayotaka kuyafanyia kazii kama wew nimtu wa sales and marketing anda sales and marketing activation proposals au sales execution planning ambayo itakuwa na faida kwa kampuni kwenye kuongeza wigo wa mauzo kwao kama ulikuwa ni hr tengeneza model nzurii weka kwa power point nenda kwenye izo kampun omba meeting na wahusika wa idara yaaan hapa wew unawaonesha uwezo wko hatra kama hawakutaki lakin tayar wameshaona uwezo wako ..na huku unamaliza unasema wew sio mwajiriwa ila nimeona nitumie hii hii elimu yangu kusaidia maendeleo ya kampuni yenu na wala sio kukaa mtaan na kuacha maarifa yangu yanapotea. hii ata kama walikuwa hawana plan ya kuajir basi ta kipind wanaplan basii jua watakukumbuka tyu . hili wanafanya majasirii wachache

tengeneza mazoea na wafanyakazii wa taasisi unazotaka kufanya kaziii . hata kama humjuh mtu hapo tumia mda wako ata wa week nenda kazunguke kwenye ofisi yao kama ni mteja ulizia ulizia wahusika wenye maamuzii wavizie wakiwa njee ya ofisi omba namba zao au business cards zao alafu jitambulishe kwao usikimbilie kusema unataka ajira hapa wanafanya wengi. kama nimtu wa kitengo ambacho ndo wew unataaluma nacho itakuwa vizur katika kuwasiliana naye muombe awe mentor wako katika carrier kuwa karibu naye akiwa anakumentor hii inamaanisha ikitokea fursaa katika kampun ni rahisi kukupa pasii maaan anaona mwanafunz wangu ninamfua emb nione kama anaelewaga

tumia njia ya kuwapa zawadi watu walio kwenye makampun unataman kufanya nao kazii... unaweza kujua md wa selcom ni abuu labda unajipanga unatafuta picha yake unamchora unampelekea ofisin kwake na unaaamwambia kabsa mm sio mchoraj ila nimeona nikupatie zawadii kwa kuinunua kwa myfrnd .. hpa unaanzaa nae mahusiano, anakuwa anakufaham na mnakuwa munawasiliana njee ya maswala ya taasisi yake kadiri mda unavyoenda utakuwa unamuonesha uwezo wako katika kuchanganua mambo ya taaluma yako na hapa lazma ujilambie ajira hukon mbelen

kuwa na watu karibu katika nyumba za ibada huko ndo tunakosali na ma md na ma maangers ... huko ukimkuta na ukianzisha mahusiano naye huko ile hali ya uMungu ndani yenu itapeleekea kuweza kuja kupata ajira hapo mbelen.....

haya yote ni bahati nasibu ndugu zangu ila ni herii tukafanya jitiada kuliko kukaa mageton na kulaumu pasipo kuchukua jitiada binafsii. idadi inazid kuongezeka ya unemployed ivyoo mbinu mbadala pia inapaswa tuwe nazo na wala sio kutegemea njiaa ambayo kila mtu anatumia. ukipata yako inayoweza kukufikisha kwenye ajira chap tumia na wala sio izoo zangu tyuu. tunyambulike tunyambulike ndugu zangu . kikubwa cha yote MUNGU nae tuwepo naye katika kila pambano ufanyalo ili kupta ajira usiende mwenyew ✨

BY
_COLMAN SEVERIN MTUI(UDSM)
BSC.ANEB
SALES AND MARKETING SPECIALIST
0768212114 || 0693223430
_
 
Back
Top Bottom