Janja ya Mo Dewj iko hapa

Janja ya Mo Dewj iko hapa

Wana hisa wa yanga wapo wangapi?
mbona hampendi kuona simba ikiwa imetulia?
Hisa 51% mnasema simba ndo inamiliki je simba wametoa Nini kwenye huo uwekezaji?
 
Iyo stars ikianza kufanya vizuri utamuona waziri na siasa km kawa sasa hivi wameisusa
Kwanini Mo Dewji anajitesa hivi kwenye soccer la Tanzania ambalo linametawaliwa na siasa na umbumbumbuu. Ni bora angekuwa anaichangia Taifa starz kama Mengi aachane na mavilabu pasua kichwa.
 
Hii sindano ya ujamaasijui itatutoka lini. Watu wa hovyo kabisa.Wamemwachampka kaingiza pesa zake huko kusajili nakuendesha club walikuwa wapitoka mwanzo? wao weke taratibu nakanuni za uendeshaji kam ni kapuni iwe kampuni na kanuni ziwekwe. Simba imeinuka serikali kwa majukumu yake mengi haiwezi na wala haitaweza kuwekeza kwenye mpira ikiwa wanshindwa tu kwekeza kwenye huduma za msingi kama afya na elimu. Timu za taifa zenyewe zinawashinda sembuse mpira ambao uwekezaji wakeni mkubwa na wa muda mrefu.Kazi tu kuvuruga kila kitu.Wamemaliza mbaazi, korosho,sasa pamba sasa mpira
Mi namtafutia tusi la kumfaa huyo kilomolomo ila naona sipati linalomtosha.
 
kuupitia hili nmegundua kuwa Simba ni Mali ya CCM
Umebugi mkuu. Ni kuwa CCM ni waoga wanajua kuwa Simba na Yanga ni block kubwa mbili ambazo ni almost fifty fifty ya Watanzania, hivyo hawataki ziwe na nguvu kubwa hivyo, wanajua kuwa block moja ukiwa imara inaweza kutumika kisiasa kuiyumbisha CCM katika ndoto yake ya kutawala milele. Kinachofanyika hapa ni siasa chafu na za kishamba za kuwaondolea Watanzania furaha yao kimchezo kwa hofu na uchu wao wa huhodhi nguvu ya kisiasa. Kinachoikuta Simba sasa japokuwa Yanga wanafurahia kitaikuta Yanga siku ikikaribia kufikia mafanikio. CCM ni genge la washamba fulani hivi ambalo halijali furaha ya wananchi wake kwa hofu tu ya kuhosa ushwawishi.
 
Ningekua karibu na waziri siku ile ningemuliza yeye kama waziri, aliomba kununua hisa wakati simba ikitangaza wawekezaji wajitokeze akanyimwa kununua hisa hizo?

mbona mzee bakresa alishindwa kufikia na mohamedi akapata nafasi hiyo kwa kushinda kandarasi hiyo?

mbele ya wanachama wa simba kwa kauli 1 tuliadhimia kumpa timu mohamedi kama mwekezaji na sio mzee bakresa.

naombatu watuambie yeye na mzee kilomoni wanatumwa na nani kutuvurugia klabu yetu? Mohamedi huyu huyu ndie ametoa pesa zake mfukoni kusajili wachezaji msimu uliopita nakupelekea timu yetu kufanya vizuri kimataifa na kuchukua ubingwa wa ligi.

watuambie yeye waziri na kilomoni wameifanyia nini simba? Kama sio kutaka kuivuruga timu yetu? Mafanikio timu iliyoyapata kimataifa imepelekea kuongezewa nafasi za uwakilishi kutoka timu 2 mpaka timu 4 je! Katika mafanikio hayo mohamedi utamwacha kumpa heshima yake kama mzalendo na mpenda maendeleo wa klabu yetu ya simba?

tunawaomba waziri pamoja na mzee kilomoni watuachie timu yetu tulishampa mo basi.
 
Umebugi mkuu. Ni kuwa CCM ni waoga wanajua kuwa Simba na Yanga ni block kubwa mbili ambazo ni almost fifty fifty ya Watanzania, hivyo hawataki ziwe na nguvu kubwa hivyo, wanajua kuwa block moja ukiwa imara inaweza kutumika kisiasa kuiyumbisha CCM katika ndoto yake ya kutawala milele. Kinachofanyika hapa ni siasa chafu na za kishamba za kuwaondolea Watanzania furaha yao kimchezo kwa hofu na uchu wao wa huhodhi nguvu ya kisiasa. Kinachoikuta Simba sasa japokuwa Yanga wanafurahia kitaikuta Yanga siku ikikaribia kufikia mafanikio. CCM ni genge la washamba fulani hivi ambalo halijali furaha ya wananchi wake kwa hofu tu ya kuhosa ushwawishi.
Umesahau drama ya Manji?
 
Kuna muda na sema hizi club za simba na yanga ni club za kuacha kidogo zipitie msoto ata kushuk daraja..haiwezekani timu zinamiaka zaidi ya 60 ila bado zero kwenye uendeshaji
 
Kuliko kulia lia na serikali ni bora wanasimba wafanye hivyo..sheria upingwa kwa sheria..japo hii sio sheria ni poroja tu za waziri..
Hivi private entity kama SSC inakuaje waziri anakuwa na nguvu ya kupanga jinsi ya kumiliki ? Sirikali kwann hisianzishe timu yake halafu ikapanga hayo Mambo ?
 
Sasa mi nawashangaa sana wabongo, kilabu si kilikuwa chini ya uongozi wa wanachama na serikali. Hakukuwa na maendeleo yeyote zaidi ya siasa ila ametokea mtu mwenye interest aendeshe kilabu hicho na fedha anazo hayo malumbano ni ya nini?

Kwahio mnataka jamaa aweke hela zake ila maamuzi ya uendeshaji mfanye wengine 😂😂😂?! Mi ninaipenda Simba ila upumbavu unaofanyika wa kuvutana mashati ndio siupendi.

Kama muhindi ameonesha uwezo na kuipa tumaini jipya Simba mwacheni aongoze timu na mnajua kabisa akijitoa timu itakuwa hoi sana maana hao wanachama wengi njaa tu maneno mengii. Huu ndio upumbavu unaolikwamisha taifa letu katika mambo mengi tu...wenye uwezo kunyimwa nafasi makusudi.
+++++++++++++++++++++++++
Umeongea vizuri sana mkuu.
Hongera
 
Mbona wasomaji ni wengi kwenye hili lakini hakuna comments zozote?au mikia kisu kimegusa kwenye kidonda?Muhindi atabaki kuwa Muhindi mbele ya Juma.Wenuna 49% halafu unafanya kila kitu zaidi ya alokuzidi?
Ujinga mlionao ndio utakaowaponza siku akiondoka huyo mhindi usiempenda mtaumbuka.
 
Sasa mi nawashangaa sana wabongo, kilabu si kilikuwa chini ya uongozi wa wanachama na serikali. Hakukuwa na maendeleo yeyote zaidi ya siasa ila ametokea mtu mwenye interest aendeshe kilabu hicho na fedha anazo hayo malumbano ni ya nini?

Kwahio mnataka jamaa aweke hela zake ila maamuzi ya uendeshaji mfanye wengine [emoji23][emoji23][emoji23]?! Mi ninaipenda Simba ila upumbavu unaofanyika wa kuvutana mashati ndio siupendi.

Kama muhindi ameonesha uwezo na kuipa tumaini jipya Simba mwacheni aongoze timu na mnajua kabisa akijitoa timu itakuwa hoi sana maana hao wanachama wengi njaa tu maneno mengii. Huu ndio upumbavu unaolikwamisha taifa letu katika mambo mengi tu...wenye uwezo kunyimwa nafasi makusudi.
Upo sawa
 
Umebugi mkuu. Ni kuwa CCM ni waoga wanajua kuwa Simba na Yanga ni block kubwa mbili ambazo ni almost fifty fifty ya Watanzania, hivyo hawataki ziwe na nguvu kubwa hivyo, wanajua kuwa block moja ukiwa imara inaweza kutumika kisiasa kuiyumbisha CCM katika ndoto yake ya kutawala milele. Kinachofanyika hapa ni siasa chafu na za kishamba za kuwaondolea Watanzania furaha yao kimchezo kwa hofu na uchu wao wa huhodhi nguvu ya kisiasa. Kinachoikuta Simba sasa japokuwa Yanga wanafurahia kitaikuta Yanga siku ikikaribia kufikia mafanikio. CCM ni genge la washamba fulani hivi ambalo halijali furaha ya wananchi wake kwa hofu tu ya kuhosa ushwawishi.
Hata maslahi ya taifa hawajali
 
Interest kubwa ya mshabiki kwa Team ni ushindi na makombe sio kugawana pesa
 
Mazungumzo eti bado yanaendelea. No atawapoza wafumbe macho aendelee kuwa peke yake.
 
Back
Top Bottom