mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwanini Mo Dewji anajitesa hivi kwenye soccer la Tanzania ambalo linametawaliwa na siasa na umbumbumbuu. Ni bora angekuwa anaichangia Taifa starz kama Mengi aachane na mavilabu pasua kichwa.
Mi namtafutia tusi la kumfaa huyo kilomolomo ila naona sipati linalomtosha.Hii sindano ya ujamaasijui itatutoka lini. Watu wa hovyo kabisa.Wamemwachampka kaingiza pesa zake huko kusajili nakuendesha club walikuwa wapitoka mwanzo? wao weke taratibu nakanuni za uendeshaji kam ni kapuni iwe kampuni na kanuni ziwekwe. Simba imeinuka serikali kwa majukumu yake mengi haiwezi na wala haitaweza kuwekeza kwenye mpira ikiwa wanshindwa tu kwekeza kwenye huduma za msingi kama afya na elimu. Timu za taifa zenyewe zinawashinda sembuse mpira ambao uwekezaji wakeni mkubwa na wa muda mrefu.Kazi tu kuvuruga kila kitu.Wamemaliza mbaazi, korosho,sasa pamba sasa mpira
Umebugi mkuu. Ni kuwa CCM ni waoga wanajua kuwa Simba na Yanga ni block kubwa mbili ambazo ni almost fifty fifty ya Watanzania, hivyo hawataki ziwe na nguvu kubwa hivyo, wanajua kuwa block moja ukiwa imara inaweza kutumika kisiasa kuiyumbisha CCM katika ndoto yake ya kutawala milele. Kinachofanyika hapa ni siasa chafu na za kishamba za kuwaondolea Watanzania furaha yao kimchezo kwa hofu na uchu wao wa huhodhi nguvu ya kisiasa. Kinachoikuta Simba sasa japokuwa Yanga wanafurahia kitaikuta Yanga siku ikikaribia kufikia mafanikio. CCM ni genge la washamba fulani hivi ambalo halijali furaha ya wananchi wake kwa hofu tu ya kuhosa ushwawishi.kuupitia hili nmegundua kuwa Simba ni Mali ya CCM
Umesahau drama ya Manji?Umebugi mkuu. Ni kuwa CCM ni waoga wanajua kuwa Simba na Yanga ni block kubwa mbili ambazo ni almost fifty fifty ya Watanzania, hivyo hawataki ziwe na nguvu kubwa hivyo, wanajua kuwa block moja ukiwa imara inaweza kutumika kisiasa kuiyumbisha CCM katika ndoto yake ya kutawala milele. Kinachofanyika hapa ni siasa chafu na za kishamba za kuwaondolea Watanzania furaha yao kimchezo kwa hofu na uchu wao wa huhodhi nguvu ya kisiasa. Kinachoikuta Simba sasa japokuwa Yanga wanafurahia kitaikuta Yanga siku ikikaribia kufikia mafanikio. CCM ni genge la washamba fulani hivi ambalo halijali furaha ya wananchi wake kwa hofu tu ya kuhosa ushwawishi.
CCM ndiye mchawi wa soka letu.Umesahau drama ya Manji?
Zilimshinda African Lyon na Singida United. Yeye kafuata Brand ya Simba ambayo kwayo itampaisha balaa kimapato.
Taifa stars ipi??? Hii Mali ya sisiem au??Kwanini Mo Dewji anajitesa hivi kwenye soccer la Tanzania ambalo linametawaliwa na siasa na umbumbumbuu. Ni bora angekuwa anaichangia Taifa starz kama Mengi aachane na mavilabu pasua kichwa.
Hivi private entity kama SSC inakuaje waziri anakuwa na nguvu ya kupanga jinsi ya kumiliki ? Sirikali kwann hisianzishe timu yake halafu ikapanga hayo Mambo ?Kuliko kulia lia na serikali ni bora wanasimba wafanye hivyo..sheria upingwa kwa sheria..japo hii sio sheria ni poroja tu za waziri..
Sasa mi nawashangaa sana wabongo, kilabu si kilikuwa chini ya uongozi wa wanachama na serikali. Hakukuwa na maendeleo yeyote zaidi ya siasa ila ametokea mtu mwenye interest aendeshe kilabu hicho na fedha anazo hayo malumbano ni ya nini?
Kwahio mnataka jamaa aweke hela zake ila maamuzi ya uendeshaji mfanye wengine 😂😂😂?! Mi ninaipenda Simba ila upumbavu unaofanyika wa kuvutana mashati ndio siupendi.
Kama muhindi ameonesha uwezo na kuipa tumaini jipya Simba mwacheni aongoze timu na mnajua kabisa akijitoa timu itakuwa hoi sana maana hao wanachama wengi njaa tu maneno mengii. Huu ndio upumbavu unaolikwamisha taifa letu katika mambo mengi tu...wenye uwezo kunyimwa nafasi makusudi.
+++++++++++++++++++++++++
Umeongea vizuri sana mkuu.
Hongera
Ujinga mlionao ndio utakaowaponza siku akiondoka huyo mhindi usiempenda mtaumbuka.Mbona wasomaji ni wengi kwenye hili lakini hakuna comments zozote?au mikia kisu kimegusa kwenye kidonda?Muhindi atabaki kuwa Muhindi mbele ya Juma.Wenuna 49% halafu unafanya kila kitu zaidi ya alokuzidi?
hahah eti ugoro🤣🤣Mkuu ndio maanaaa hii nchi inatambaa tangu kuumbwa kwake .
Kuna wenzetu vichwani kwao ni ugoroo tuuu
Upo sawaSasa mi nawashangaa sana wabongo, kilabu si kilikuwa chini ya uongozi wa wanachama na serikali. Hakukuwa na maendeleo yeyote zaidi ya siasa ila ametokea mtu mwenye interest aendeshe kilabu hicho na fedha anazo hayo malumbano ni ya nini?
Kwahio mnataka jamaa aweke hela zake ila maamuzi ya uendeshaji mfanye wengine [emoji23][emoji23][emoji23]?! Mi ninaipenda Simba ila upumbavu unaofanyika wa kuvutana mashati ndio siupendi.
Kama muhindi ameonesha uwezo na kuipa tumaini jipya Simba mwacheni aongoze timu na mnajua kabisa akijitoa timu itakuwa hoi sana maana hao wanachama wengi njaa tu maneno mengii. Huu ndio upumbavu unaolikwamisha taifa letu katika mambo mengi tu...wenye uwezo kunyimwa nafasi makusudi.
Biashara ipo hivyo.Zilimshinda African Lyon na Singida United. Yeye kafuata Brand ya Simba ambayo kwayo itampaisha balaa kimapato.
Hata maslahi ya taifa hawajaliUmebugi mkuu. Ni kuwa CCM ni waoga wanajua kuwa Simba na Yanga ni block kubwa mbili ambazo ni almost fifty fifty ya Watanzania, hivyo hawataki ziwe na nguvu kubwa hivyo, wanajua kuwa block moja ukiwa imara inaweza kutumika kisiasa kuiyumbisha CCM katika ndoto yake ya kutawala milele. Kinachofanyika hapa ni siasa chafu na za kishamba za kuwaondolea Watanzania furaha yao kimchezo kwa hofu na uchu wao wa huhodhi nguvu ya kisiasa. Kinachoikuta Simba sasa japokuwa Yanga wanafurahia kitaikuta Yanga siku ikikaribia kufikia mafanikio. CCM ni genge la washamba fulani hivi ambalo halijali furaha ya wananchi wake kwa hofu tu ya kuhosa ushwawishi.