ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,014
uzi huu una tatizo gani? au wajapani watakasirikas siri yao imevuja?Uzi huu mods akiamka tu anapita nao
Tangu jana ukiweka uzi unaohusu Acacia kufunga mgodi na kubakiza wafanyakazi mia tu mods anaufutauzi huu una tatizo gani? au wajapani watakasirikas siri yao imevuja?
Hahahahaha mimi niliweka uzi wa kushauri sirikali kuunda kikosi kazi cha kukesha bar na walevi madereva wakiwa wanatoka bar kuingia kwenye magari yao wapimwe kilevi na kuchajiwa faini ili kuongeza mapato nashangaa mods wakaubinya usionekane na public nikawa nauona mimi tu then later wakauondoa....🙂😀😛Tangu jana ukiweka uzi unaohusu Acacia kufunga mgodi na kubakiza wafanyakazi mia tu mods anaufuta
vipi tenaaaaaaa.................!!!!!We jamaa ni chai saaana nimecheka mwenyeewe mpaka wajapan kwenye densha wakanishangaaa
Ngoja tusubiriSiku ya jana jioni nilipata bahati ya kukaaa na mtu wa kitengo sehemu moja maarufu kwa ulaji wa kitimoto a.k.a Noah na aliniambia mambo mengi sana ila hili moja kwa kweli lilinikaa kichwani
Ushawahi kujiuliza mbona siku hizi balozi wa Japani yuko kifrontfront sana kwenye media,mara kasaidia ujenzi wa jengo la wodi ya wazazi,mara kaenda kufungua choo cha mtakuja primary kilichojengwa kwa msaada wa Jica,mara leo huku kesho kule na lazima tv zirushe na bwana yule ambassador yeye anatwanga kiswahili tu kama sio mjapani vileee
Kumbeeeeeee,jamaa wanavizia deal la Noah kwa hesabu ya chini serikali itaagiza Noah Milioni 30 kugawia Raia wake very soon baada ya matapeli wa Accacia kutulipa hela zetu
Deal hiyo itakuwa kubwa zaidi kuwahi ktokea kwa kiwanda cha magari kupokea order moja na haitakuja kutokea tenaaaaa.