Janjajanja na siri ya wajapani na balozi wao imevuja

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
Siku ya jana jioni nilipata bahati ya kukaaa na mtu wa kitengo sehemu moja maarufu kwa ulaji wa kitimoto a.k.a Noah na aliniambia mambo mengi sana ila hili moja kwa kweli lilinikaa kichwani
Ushawahi kujiuliza mbona siku hizi balozi wa Japani yuko kifrontfront sana kwenye media,mara kasaidia ujenzi wa jengo la wodi ya wazazi,mara kaenda kufungua choo cha mtakuja primary kilichojengwa kwa msaada wa Jica,mara leo huku kesho kule na lazima tv zirushe na bwana yule ambassador yeye anatwanga kiswahili tu kama sio mjapani vileee
Kumbeeeeeee,jamaa wanavizia deal la Noah kwa hesabu ya chini serikali itaagiza Noah Milioni 30 kugawia Raia wake very soon baada ya matapeli wa Accacia kutulipa hela zetu
Deal hiyo itakuwa kubwa zaidi kuwahi ktokea kwa kiwanda cha magari kupokea order moja na haitakuja kutokea tenaaaaa.
 
Hahahahahahaha ngoja nicheke tuu

mzee mzima haishiwi maneno
 
Tangu jana ukiweka uzi unaohusu Acacia kufunga mgodi na kubakiza wafanyakazi mia tu mods anaufuta
Hahahahaha mimi niliweka uzi wa kushauri sirikali kuunda kikosi kazi cha kukesha bar na walevi madereva wakiwa wanatoka bar kuingia kwenye magari yao wapimwe kilevi na kuchajiwa faini ili kuongeza mapato nashangaa mods wakaubinya usionekane na public nikawa nauona mimi tu then later wakauondoa....🙂😀😛
 
We jamaa ni chai saaana nimecheka mwenyeewe mpaka wajapan kwenye densha wakanishangaaa
 
kumbe ni mawazo ya bar yakisindikizwa na bia baridiii.
 
Siku ya jana jioni nilipata bahati ya kukaaa na mtu wa kitengo sehemu moja maarufu kwa ulaji wa kitimoto a.k.a Noah na aliniambia mambo mengi sana ila hili moja kwa kweli lilinikaa kichwani
Ushawahi kujiuliza mbona siku hizi balozi wa Japani yuko kifrontfront sana kwenye media,mara kasaidia ujenzi wa jengo la wodi ya wazazi,mara kaenda kufungua choo cha mtakuja primary kilichojengwa kwa msaada wa Jica,mara leo huku kesho kule na lazima tv zirushe na bwana yule ambassador yeye anatwanga kiswahili tu kama sio mjapani vileee
Kumbeeeeeee,jamaa wanavizia deal la Noah kwa hesabu ya chini serikali itaagiza Noah Milioni 30 kugawia Raia wake very soon baada ya matapeli wa Accacia kutulipa hela zetu
Deal hiyo itakuwa kubwa zaidi kuwahi ktokea kwa kiwanda cha magari kupokea order moja na haitakuja kutokea tenaaaaa.
Ngoja tusubiri
 
Hahahaa inaelekea huyo mzee wa kitengo ilibidi atumie mbinu za ziada kukufanya uendelee kuagiza vinywaji na ulipie noah!
 
Back
Top Bottom