Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Habari njema itawaamsha waliolala kwa kukosa MATUMAINI waliokata tamaa kujaa Furaha walioshindwa kutembea KURUKARUKA wasio ona KUONA walio na KIU kuuona mto walio na machozi KUFUTWA
Kesho NYATI anafunguliwa zizini nyati anakwenda KUTUONGOZA kuchanja MSITU
Hotuba ya KUSISIMUWA itapasuwa Mioyo ya Maadui zetu na KESHO wajiandae kwa GANZI KALI...Dunia inakwenda kushuhudia hili jambo la Kihistoria katika Sisasa za Maziwa Makuu
Baada ya hapo NYATI atazuunguka kila kona ya nchi kupungia maelfu ya watu walio fufuka na Matumaini huku WAKIBIBUJIKWA NA MACHOZI YA FURAHA....Hakika Sauti za vilio VIMESIKIKA ....mwenye FUNGUO KAFUNGUKA
Wengi upande ule watakuja kuungana NASI na wengine huko wameanza kulewa midomoni
Kwa sasa wingu JEUSI LIMETANDA na kila moja kwa MAOMBI NA DUA ZAKE
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki CHADEMA
Tulianza na Mungu na Kesho TUNAMALIZA MUNGU!!!!