Pre GE2025 Januari 21, 2025 nchi itazizima ni kishindo kufuatia Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
24,977
Reaction score
23,799
Habari njema itawaamsha waliolala kwa kukosa MATUMAINI waliokata tamaa kujaa Furaha walioshindwa kutembea KURUKARUKA wasio ona KUONA walio na KIU kuuona mto walio na machozi KUFUTWA

Kesho NYATI anafunguliwa zizini nyati anakwenda KUTUONGOZA kuchanja MSITU

Hotuba ya KUSISIMUWA itapasuwa Mioyo ya Maadui zetu na KESHO wajiandae kwa GANZI KALI...Dunia inakwenda kushuhudia hili jambo la Kihistoria katika Sisasa za Maziwa Makuu

Baada ya hapo NYATI atazuunguka kila kona ya nchi kupungia maelfu ya watu walio fufuka na Matumaini huku WAKIBIBUJIKWA NA MACHOZI YA FURAHA....Hakika Sauti za vilio VIMESIKIKA ....mwenye FUNGUO KAFUNGUKA

Wengi upande ule watakuja kuungana NASI na wengine huko wameanza kulewa midomoni

Kwa sasa wingu JEUSI LIMETANDA na kila moja kwa MAOMBI NA DUA ZAKE

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki CHADEMA

Tulianza na Mungu na Kesho TUNAMALIZA MUNGU!!!!
 
Kesho NYATI anafunguliwa zizini nyati anakwenda KUTUONGOZA kuchanja MSITU💪🏿👌🏿❤❤❤💗💗💗
 
Kwa sasa wingu JEUSI LIMETANDA na kila moja kwa MAOMBI NA DUA ZAKE

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki CHADEMA

Tulianza na Mungu na Kesho TUNAMALIZA MUNGU!!!!💗💗💗💗
 
Hotuba ya KUSISIMUWA itapasuwa Mioyo ya Maadui zetu na KESHO wajiandae kwa GANZI KALI...Dunia inakwenda kushuhudia hili jambo la Kihistoria katika Sisasa za Maziwa Makuu💪🏿💪🏿💪🏿❤💗
 
Baada ya hapo NYATI atazuunguka kila kona ya nchi kupungia maelfu ya watu walio fufuka na Matumaini huku WAKIBIBUJIKWA NA MACHOZI YA FURAHA....Hakika Sauti za vilio VIMESIKIKA ....mwenye FUNGUO KAFUNGUKA
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Siasa Ya Nchi ni Wachaga

Tafuta

Wachagga​

kabila la Kenya na Tanzania

Wachagga[1] ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro.
Nyumba ya asili huko Marangu.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania.[2] Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi yao ni watu 2,000,000. Hata hivyo kabila hilo ni kama mchanganyiko wa makabila madogomadogo yenye lugha tofauti, jambo la pekee nchini Tanzania.
Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara, kilimo na kazi za ofisini.

Vikundi vya Wachagga​

Lugha ya Kichagga​

Koo za Kichagga​

Utawala wa jadi wa Wachagga​

Elimu kati ya Wachagga​

Ardhi​

Kilimo na chakula​

Maoni juu ya Wachagga​

Tanbihi​

Marejeo​

Viungo vya nje​

mwisho imehaririwa miezi 5 iliyopita na Riccardo Riccioni

Sure,
nchi itashuhudia ngumi za Chadema kwa chadema zikipigwa kavu kavu moja kwa moja kutoka mlimani City conference center 🐒
 
Ubaguzi wa jana kule Dodoma...aisaeeh eti WACHAWI
 
Siasa Ya Tanzania ni Mchaga

Tafuta

Wachagga​

kabila la Kenya na Tanzania

Wachagga[1] ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro.
Nyumba ya asili huko Marangu.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania.[2] Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi yao ni watu 2,000,000. Hata hivyo kabila hilo ni kama mchanganyiko wa makabila madogomadogo yenye lugha tofauti, jambo la pekee nchini Tanzania.
Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara, kilimo na kazi za ofisini.

Vikundi vya Wachagga​

Lugha ya Kichagga​

Koo za Kichagga​

Utawala wa jadi wa Wachagga​

Elimu kati ya Wachagga​

Ardhi​

Kilimo na chakula​

Maoni juu ya Wachagga​

Tanbihi​

Marejeo​

Viungo vya nje na Fitina​

mwisho imehaririwa miezi 5 iliyopita na Riccardo Riccioni

Sure,
nchi itashuhudia ngumi za Chadema kwa chadema zikipigwa kavu kavu moja kwa moja kutoka mlimani City conference center 🐒
Huku hatukashifu watu wa Kanda ya ziwa Victoria eti WACHAWI na wamekufa
 
Siasa Ya Tanzania ni Wachaga

Tafuta

Wachagga​

kabila la Kenya na Tanzania

Wachagga[1] ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro.
Nyumba ya asili huko Marangu.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania.[2] Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi yao ni watu 2,000,000. Hata hivyo kabila hilo ni kama mchanganyiko wa makabila madogomadogo yenye lugha tofauti, jambo la pekee nchini Tanzania.
Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara, kilimo na kazi za ofisini.

Vikundi vya Wachagga​

Lugha ya Kichagga​

Koo za Kichagga​

Utawala wa jadi wa Wachagga​

Elimu kati ya Wachagga​

Ardhi​

Kilimo na chakula​

Maoni juu ya Wachagga​

Tanbihi​

Marejeo na FITINA​

Viungo vya nje​

mwisho imehaririwa miezi 5 iliyopita na Riccardo Riccioni

Hivi nyinyi wanachama wa CDM hamuoni aibu kushabikia viongozi wenu wakubwa wakiparurana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…