Pre GE2025 Januari 21, 2025 nchi itazizima ni kishindo kufuatia Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nilishamuonya kuwa anachofanya ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu,sasa hivi amebakia kukata miuno kwenye mikutano ya CCM kuwaburudisha wajumbe.
Teh teh teh na wengine wamegeuka ombaomba hapo Dodoma nauli za kurudi makwao huko uswekeni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…