Januari hii ya 2023 ni kiboko ya Januari zote tangu tupate uhuru

Habari za kushinda wakulungwa!
Hii January ni kiboko.
Au mnaionaje nyie wenzangu.
Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe vizinga.
Hii January hata Mimi imenichapa.
Januali zote huwa ngumu labda wewe ulikuwa unaishi kwa shemeji yako
 
Habari za kushinda wakulungwa!
Hii January ni kiboko.
Au mnaionaje nyie wenzangu.
Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe vizinga.
Hii January hata Mimi imenichapa.
Wengi watakataa ila ukweli ndio huo. Let's face the facts, there is serious inflation hasa kwenye bei za vyakula hasa Dar es Salaam, low cash flow na hapo inabidi mambo yaende regardless of hali ya uchumi. Nina rafiki zangu mshahara ulishaisha tangu tarehe 4 sasa mpaka ifike mwisho wa mwezi hakuna rangi wataacha kuona.
 
IMG-20230109-WA0008.jpg
 
Pole sana mkuu
Asante.
Wengi watakataa ila ukweli ndio huo. Let's face the facts, there is serious inflation hasa kwenye bei za vyakula hasa Dar es Salaam, low cash flow na hapo inabidi mambo yaende regardless of hali ya uchumi. Nina rafiki zangu mshahara ulishaisha tangu tarehe 4 sasa mpaka ifike mwisho wa mwezi hakuna rangi wataacha kuona.
Hii Njaanuri isikie tu.
Ni January dume
 
Back
Top Bottom