Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hapana ila hii January ni nyokoMkuu tangu 1961 unapigwa vizinga 😅
Januali zote huwa ngumu labda wewe ulikuwa unaishi kwa shemeji yakoHabari za kushinda wakulungwa!
Hii January ni kiboko.
Au mnaionaje nyie wenzangu.
Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe vizinga.
Hii January hata Mimi imenichapa.
Habari za kushinda wakulungwa!
Hii January ni kiboko.
Au mnaionaje nyie wenzangu.
Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe vizinga.
Hii January hata Mimi imenichapa.
Sawa mkuuNi mpangilio kulingana na kipato chako, ukipiga bajeti vizuri huwezi ukalalamika. Tatizo ni matumizi tena ya kuiga bila bajeti.
Kuna uhusiano gani Kati ya ID mpya na ujinga?Ni mpangilio kulingana na kipato chako, ukipiga bajeti vizuri huwezi ukalalamika. Tatizo ni matumizi tena ya kuiga bila bajeti.
Wengi watakataa ila ukweli ndio huo. Let's face the facts, there is serious inflation hasa kwenye bei za vyakula hasa Dar es Salaam, low cash flow na hapo inabidi mambo yaende regardless of hali ya uchumi. Nina rafiki zangu mshahara ulishaisha tangu tarehe 4 sasa mpaka ifike mwisho wa mwezi hakuna rangi wataacha kuona.Habari za kushinda wakulungwa!
Hii January ni kiboko.
Au mnaionaje nyie wenzangu.
Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe vizinga.
Hii January hata Mimi imenichapa.
Asante.Pole sana mkuu
Asante.Pole sana mkuu
Hii Njaanuri isikie tu.Wengi watakataa ila ukweli ndio huo. Let's face the facts, there is serious inflation hasa kwenye bei za vyakula hasa Dar es Salaam, low cash flow na hapo inabidi mambo yaende regardless of hali ya uchumi. Nina rafiki zangu mshahara ulishaisha tangu tarehe 4 sasa mpaka ifike mwisho wa mwezi hakuna rangi wataacha kuona.