Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Kuwa mbunge na Waziri Kwa miaka mingi, sio hoja!
Hoja ni nini umefanya katka nafasi zako hizo? Una record zipi ktk kulitumikia Taifa na hata upewe nafasi ya juu zaidi.?
Tuweni wakweli tu, Mh January, amelifanyia nini Taifa letu mbali na kuwa kwenye nafasi Mbalimbali za juu kiuongozi.
Ni mambo yepi mazuri aliyofanya kama Taifa nasi tukajivunia ukilonganisha na sikendo zake na kushindwa kwake kwingi ktk wizara alizowahi kuongoza?
Tuwapimeni viongozi wetu Kwa matunda yao na uadirifu wao.
So kila MTU aweza kuwa kiongozi wa juu, wengine walipaswa wawe wenyeviti wa mtaa.