Januari Makamba kafanya nini kwenye nchi yetu hadi tufikiri kumpa urais?

Januari Makamba kafanya nini kwenye nchi yetu hadi tufikiri kumpa urais?

Usitegemee jambo geni kutoka CCM wote ni wachumia matumbo, .leo hii miaka 61 ya uhuru sisi wakazi wa Dar ni wa kuoga kwa zamu kweli kisa maji hakuna na joto nalo ndiyo limepamba moto.
 
Back
Top Bottom