Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Umeulizwa kalifanyia nn Taifa sio kuijua CCM mzee! Hatujadili kuhusu Katibu wa CCM hapa ila tunajadili juu ya kiongozi wa Nchi Yetu.Kabla ya kuhoji juu ya January makamba hembu kwanza twambie kama swali hili limeshawahi kutumika kumpata mdombea wa ccm, bora hata January tuseme chama ana kijua. Yule chizi aliyekuwa na faili mirembe hajawahi kuwa na hiyo sifa lakini alikuja kuwa raisi japo MPUUZI
Inshort kuna watu huko walishajiwekea wao lazima wawe Mawaziri ndiyo ao wakina January! Hakuna lolote zaidi kwakuwa Baba alikuwa mtu mkubwa ndani ya chama nawao wanapitia nafasi io.Kuwa mbunge na Waziri Kwa miaka mingi, sio hoja!
Hoja ni nini umefanya katka nafasi zako hizo? Una record zipi ktk kulitumikia Taifa na hata upewe nafasi ya juu zaidi.?
Tuweni wakweli tu, Mh January, amelifanyia nini Taifa letu mbali na kuwa kwenye nafasi Mbalimbali za juu kiuongozi,
Ni mambo yepi mazuri aliyofanya kama Taifa nasi tukajivunia ukilonganisha na sikendo zake na kushindwa kwake kwingi ktk wizara alizowahi kuongoza?
Tuwapimeni viongozi wetu Kwa matunda yao na uadirifu wao
So kila MTU aweza kuwa kiongozi wa juu, wengine walipaswa wawe wenyeviti wa mtaa
tupe ushahidi wa maneno yakoAmehakikisha umeme unagawiwa bila kelele kutoka kwa wananchi.
Anaweza kupewa 10% huko Taifa G, na wananchi tusijue..
Anajua mbinu zote za upigaji, amerithi mbinu hizo kutoka kwa "Wanamtandao". Ni mtiifu kwao.
Amehakikishiwa uwaziri hadi 2030. Atakuwa akihamishiwa Wizara za minofu tu, sio zile za mifupa kama za Muungano, Mazingira, Michezo, n.k
Anatafutiwa ujumbe wa NEC kamati kuu amalize kazi aliyotumwa.
Waliomwamini ni hao wanaofanya "sorting" huko CCM, japo wananchi hawamtaki.
Wenye hela wapo nyuma yake, kumtangaza.
Daaah...! Una chuki sana zidi ya mwamba, chuma kabisa JPMKabla ya kuhoji juu ya January makamba hembu kwanza twambie kama swali hili limeshawahi kutumika kumpata mdombea wa ccm, bora hata January tuseme chama ana kijua. Yule chizi aliyekuwa na faili mirembe hajawahi kuwa na hiyo sifa lakini alikuja kuwa raisi japo MPUUZI
Majamaa yanakurupuka ile mbaya,kashindwa kuelewa awali [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Umeulizwa kalifanyia nn Taifa sio kuijua CCM mzee! Hatujadili kuhusu Katibu wa CCM hapa ila tunajadili juu ya kiongozi wa Nchi Yetu.
Mbona unajusahau tukumbuke ili uwe rais wa nchi hii ni lazima utoke kwenye ukoo wa walamba asali na waridhie ndipo tume ya uchaguzi inaelekezwa yote yakufanywa ndipo raisi anasubiria tarehe ya kuapishwa ili aingie magogoniHuyo anapoteza muda tu, yeye ajiandae kukamuliwa pesa anazoibia watanzania. Urais hata wa sebuleni kwa hapati
Zaidi ya Nyerere na sifa yake ya kuleta Uhuru, hao Marais waliopata walilifanyia nini Taifa mpaka kustahili hiyo nafasi. Anza na Maza ili tuelezwe mwelekeo.Kuwa mbunge na Waziri Kwa miaka mingi, sio hoja!
Hoja ni nini umefanya katka nafasi zako hizo? Una record zipi ktk kulitumikia Taifa na hata upewe nafasi ya juu zaidi.?
Tuweni wakweli tu, Mh January, amelifanyia nini Taifa letu mbali na kuwa kwenye nafasi Mbalimbali za juu kiuongozi,
Ni mambo yepi mazuri aliyofanya kama Taifa nasi tukajivunia ukilonganisha na sikendo zake na kushindwa kwake kwingi ktk wizara alizowahi kuongoza?
Tuwapimeni viongozi wetu Kwa matunda yao na uadirifu wao
So kila MTU aweza kuwa kiongozi wa juu, wengine walipaswa wawe wenyeviti wa mtaa
Ngoja muda ufike utaelewa kwanini 'nimejisahau'. Mikamba haji kutawala nchi hii kamweMbona unajusahau tukumbuke ili uwe rais wa nchi hii ni lazima utoke kwenye ukoo wa walamba asali na waridhie ndipo tume ya uchaguzi inaelekezwa yote yakufanywa ndipo raisi anasubiria tarehe ya kuapishwa ili aingie magogoni
Wakati tunapiga kura gheresha na kupanga mistari mirefu toka asubuh mpaka jioni huku tunachagizwa na kauli mbiu za viongozi wetu wa dini tuiombee nchi yetu tufanye uchaguzi wa amani na utulivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]