F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Nov 2, 2022 #21 Usitegemee jambo geni kutoka CCM wote ni wachumia matumbo, .leo hii miaka 61 ya uhuru sisi wakazi wa Dar ni wa kuoga kwa zamu kweli kisa maji hakuna na joto nalo ndiyo limepamba moto.
Usitegemee jambo geni kutoka CCM wote ni wachumia matumbo, .leo hii miaka 61 ya uhuru sisi wakazi wa Dar ni wa kuoga kwa zamu kweli kisa maji hakuna na joto nalo ndiyo limepamba moto.