kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Aliyepigwa ban kwa trump!Makonda ni nani!
Jibu mbona unalo tayariWatu wanajadili kukosekana kwa Makonda, Kigwangala, Nape, Gambo kwenye baraza la Mawaziri wanashindwa kujua hata January hayupo.
Je, January hakustahili, Hana sifa au mzee ameona kwamba akimpa atatumia muda mwingi kujitangaza kuliko kumsaidia? Je, ni kosa kwake kujitabiria na kujipanga kugombea Tena Urais? January pls come out with free mind knowing that we live once and once we got chance to live we need to live our life not their life.
Ummy Mwalimu kaendelea kuwepo kwa sababu hana malengo binafsi (kama ya 2025), kenyewe ni kazi tuJanuary hana sifa za kuwazidi Awesu na Ummy Mwalimu mkoani Tanga!