Januari Makamba sikuoni barazani, what's wrong?

Januari Makamba sikuoni barazani, what's wrong?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Watu wanajadili kukosekana kwa Makonda, Kigwangala, Nape, Gambo kwenye baraza la Mawaziri wanashindwa kujua hata January hayupo.

Je, January hakustahili, Hana sifa au mzee ameona kwamba akimpa atatumia muda mwingi kujitangaza kuliko kumsaidia? Je, ni kosa kwake kujitabiria na kujipanga kugombea Tena Urais? January pls come out with free mind knowing that we live once and once we got chance to live we need to live our life not their life.
 
Huyo si alitimuliwa kwenye baraza so hatujashangaa kukosekana
 
January ni kirusi ndani ya baraza la Magufuli!
 
January Makamba ndio Rais ajaye.

Wacha aendelee na mipango chini ya carpet,mda ukifika kilakitu kitakuwa sawa.
 
Watu wanajadili kukosekana kwa Makonda, Kigwangala, Nape, Gambo kwenye baraza la Mawaziri wanashindwa kujua hata January hayupo.

Je, January hakustahili, Hana sifa au mzee ameona kwamba akimpa atatumia muda mwingi kujitangaza kuliko kumsaidia? Je, ni kosa kwake kujitabiria na kujipanga kugombea Tena Urais? January pls come out with free mind knowing that we live once and once we got chance to live we need to live our life not their life.
Jibu mbona unalo tayari

Chuma Magufuli anataka watu wakufanya kazi 'wakumsaidia' na si watu wakujipanga na 2025
 
January hana sifa za kuwazidi Awesu na Ummy Mwalimu mkoani Tanga!
Ummy Mwalimu kaendelea kuwepo kwa sababu hana malengo binafsi (kama ya 2025), kenyewe ni kazi tu

Na hana nyodo, majivuno, dharau kama kijana yule wa kule milimani Tanga au yule wa kusini mwa Tanzania
 
Makamba alianza kupiga kampein za kwake 2025 kuwa awe presd, sasa jiwe ameona huyu atamfelisha mapema kwa kuanza kugawa watu

#jr
 
Unazungumzia JANUARY Yule mtoto wa MAGAMBA MATATU?
 
Mbona mwigulu kateuliwa na yeye pia nae sianayo mipango binafsi?
 
January Makamba Ni Bosheni la Upinzani 2025 Kama Lowassa na Membe.
 
Waache wabatzane kwa maji Mengi
 
Siasa ni SAFARI NDEFU...

Siasa ni upepo....Kuna wakati unavuma upenuni kwako na UNABARIZI...
Kuna wakati uko "Kijiji" Cha wenzako nao WANABARIZI....

Maisha hayatabiriki....
Uongozi na utumishi wa UMMA ni kupeana VIJITI....

KESHO NAYO SIKU!!
 
Back
Top Bottom