Januari tuwekee ushahidi wa video ya Kamati ya Bunge au Mbunge aliyekuita 'Mshenzi'

 
Unaonyesha wazi jinsi ulivyo na Bifu, chuki na Fitina kuhusu January Makamba. Yaani ulivyo mjinga unajisahau hadi unafungua Thread zaidi ya kumi na zote ni kwaajili ya kumfitini Makamba. UNAPOTUMIA NGUVU NYINGI KUMJENGEA MTU FITNA ZA WIVU NA CHUKI UJUE HATA WEWE KUNA MABAYA YATAKUFUATA TU.
LENGO LAKO SIO JEMA KABISA.

NAKUSHAURI IFUKUZE HIYO ROHO IKAWAINGIE NGURUWE na hutakuwa na chuki kamwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…