Januari ya mwaka huu

Januari ya mwaka huu

Wee huoni bae wako anakimbilia Norway...!!!!!
niache bhana ujue sina moyo wa chuma. weekend ndo inaanza hivyo mie sina nguvu ya kulia.

au utanisaidia? I mean kulia
 
niache bhana ujue sina moyo wa chuma. weekend ndo inaanza hivyo mie sina nguvu ya kulia.

au utanisaidia? I mean kulia [color/]

[emoji44][emoji44]labda ingekuwa vilio vya kitandanii. Hivyo I can't [emoji4][emoji4]
 
Mwez huu mrefu sababu kufka tareh 28 watu walimaliza mshahara mapema ila njaa hakuna maana nina milion 3
 
[emoji44][emoji44]labda ingekuwa vilio vya kitandanii. Hivyo I can't [emoji4][emoji4]
uliandika hata ;........ usinichezee.

nakuja pale mahali nikuchape weweee
 
uliandika hata ;........ usinichezee.

nakuja pale mahali nikuchape weweee
Hahaha....nahamu nimchangie pesa ya visa asepe haraka [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
ulinzi si utakuwa unakaa nje sisi ( i and bae) ndani

teh teh au hujui
Ndio maana @Supermaket alikonda.

Mimi nakaba...nitatumia ulinzi shirikishi bae wako akiondoka nakuja kukulinda ndani [emoji4]au!
 
Ndio maana @Supermaket alikonda.

Mimi nakaba...nitatumia ulinzi shirikishi bae wako akiondoka nakuja kukulinda ndani [emoji4]au!
hakunaga hiyo na hata ukija ndani hutafaidi chochote.

acha nikumegee siri, amechongesha kufuli la chuma na kaweka lock. akiondoka huwa anaondoka na funguo zake.

teh teh supermarket alikonda? mbona una visa? alikuwa anafuharia sana kazi yake hata ukimuuliza
 
Yeah!mie nimeiona ikipitilza chalinze na kupinda kama inaenda msata hivi.
 
Back
Top Bottom