Tunakumbusha tu Januari inaingia; huwa inaonekana ndefu sana kutokana kwamba watu hutumia pesa sana kipindi hiki cha skukuu bila kufikilia mwezi Januari itakuwaje kwao.
Niwape hongera na pole kwa wale ambao Pesa zao znatumika kulipa ada, kodi za pango n.k
Sent using
Jamii Forums mobile app