ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kuwatumbua na kuwabania watu fursa ni vitu 2 tofautiSasa mbona kawatumbua nape na makamba kama ana roho nzuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwatumbua na kuwabania watu fursa ni vitu 2 tofautiSasa mbona kawatumbua nape na makamba kama ana roho nzuri?
Sio sijui sioni alichofanya huko afconHujui alichofanya? Pole sana View attachment 3081199View attachment 3081200
Hata akikutumbua kakubania fursa piaKuwatumbua na kuwabania watu fursa ni vitu 2 tofauti
DuhToa ujinga wako hapa,yule mtu wenu alikuwa roho mbaya ndio maana kawahi
Endelea kuwa kipofu. Sio tuu Afcon Bali hata kuleta Makao Makuu ya Mahakama ya AU Arusha ni role ya SSH.Sio sijui sioni alichofanya huko afcon
Tueleze aliplay role gani kwenye hayo maswala na sio blablaEndelea kuwa kipofu. Sio tuu Afcon Bali hata kuleta Makao Makuu ya Mahakama ya AU Arusha ni role ya SSH.
Hapa umeonyesha jinsi ulivyo MPUMBAVU mkubwa.Magufuli amekufa akiwa mzee wa miaka 61, unasema kawahi kwasababu alikuwa na roho mbaya.Unasahau kuwa kuna watu wanakufa wakiwa vichanga,wengine wanakufa wakiwa vijana wadogo sana.Toa ujinga wako hapa,yule mtu wenu alikuwa roho mbaya ndio maana kawahi