January balaa!

January balaa!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Jamaaa kapata wageni bila kujiandaa, Mara mke wake akahamaki, baba J, nitawezaje kuserve chai isyo na sukari mbele ya marafiki zako maana hata ile ya mtoto haiwez kuwatisha wote.
Jamaa akafikiria halaf akamwambia' Leta chai isyo na sukari kwa wote
Ilipofika ilibidi mke atimke zake kwa aibu, jamaa kabla ya kuruhusu chai inywewe akawaambia Jamani karibuni lkn nataka tupge game kidogo...kikombe kimoja hakina sukari so atakae kipata atatupeleka lunch sote hapa. Walipokuwa wanakunywa kila mtu akawa anadai chai yake ina sukar ya kutosha na kwanza imezidi......
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kumaliza January inahitaji akili ya ziada

*#Watu_Bwana!![emoji23][emoji23]*
 
Hahahahahaaa asieee hii ni akili ya ziada.Akili hizi wanazo watu kama Dr Shika na mwenzie Nabii Titto
 
Back
Top Bottom