MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
We are fiiiiine, trust me...
Mh kwani utajisema Kui dada angu? Anyway beauty is in the eyes of the beholder. Maybe mimi wanaomsifia hata siyo type yangu haha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We are fiiiiine, trust me...
Haha you always manage to entertain me. You know asingekua na mke maybe ungekua Michelle wake.
pole mwana Fa!!!January anastahili kupewa sifa,lakini na wewe kama uko smart tutakusifia tu wangu!halafu kumbe na nyinyi wanaume hampendani????I thought only ladies!!!!!!kama hauamini sifa tunazompa hapa,mtafute au fanya follow up ya kazi zake utakubaliana na mimi pamoja na Kelly!si kwamba tunampamba bali anastahili kusifiwa!
mbona KUI pia ana mashaka na wewe??
Mwenzangu, may be saa hizi ningekuwa najinoa kuwa future first lady wa Tanzania...lol!
Jamani mbona nisha sema una weza kumsifia na ana fanya kazi nzuri? Au una taka na mimi nimuite handsome ndiyo uone sina wivu?
hajaoa bado!!!so haujachelewa.mtafute!
LOL!, LOL!
Mwana f, hebu mwite hivo basi kidogo nisikie, nifurahi...
Lakini ningependelea zaidi yo yo ndo amwite hivo...lol!
...Wewe njoo kwangu i am younger than JM so akiachia yeye ngazi nampokea mimi hahaha. Your dreams of being first lady are still alive and well(utani tu).
Mh mimi simo ugimvi ukianza haha.
...
Niiiiice!, tunataka watu wenye maono kama nyinyi...you're willing to take over after him in case yeye atatangulia...Poa kishenzi!, si kama wengine wanao muonea wivu.
Go!, mwana F, go!
I have no problem with the guy being president IF he is capable. Kama aki prove later on he can sawa. but I'm to caught up in my own dreams to worry about his.
True, true...
And I'll still dream of being a first lady one day...some dreams come true, some don't, but we should just keep on dreaming...
Kweli kabisa. hivi does JM even have dreams of becoming president au basi tu watu mnampa tafu kwenye kitu ambacho ina wezekana hata hana haja nacho?
If he doesn't I'll prompt him to think about it
Eh kumbe muda wote hu mnampiga kampeni dada angu hakuna mgombea? Tumemjadili sana kumbe the guy hata hatujui kama anautaka huo uraisi? Basi jamani mjadala ufungwe mpaka hapo mwenyewe atakapo sema nina nia fulani then tujadili.
I said if he doesn't, who knows may be he does...mi ntajuaje mwaya!...I wish I'd be the first to know...(lol)!
Let's keep waiting you never know.