January Makamba: A New Generation Leader!



























narudia kama kuna mtu ana hoja za msingi kwa nini JANUARY MAKAMBA hafai azilete then tujadili
 
True, true...

And I'll still dream of being a first lady one day...some dreams come true, some don't, but we should just keep on dreaming...

you can be president too....

kuna wimbo una maneno "hata wanawake nao wanaweza kuwa marais", may be u need to listen to this song
 
narudia kama kuna mtu ana hoja za msingi kwa nini JANUARY MAKAMBA hafai azilete then tujadili

wewe unamjua JM vizuri na kazi zake anazozifanya ikulu, tumwagie sifa zake tuzijadili, utaki....

umesema niangalie nyuma na nimeangalia, lakini wewe badala ya kutoa sifa zake unatuletea habari "Luhanjo Stalinist" na "establishment"
kama Luhanjo ni stalin hizo ni sifa zake (wengine wanamuona stalin hero/villain)

kama elimu watu wengi wana elimu za kutoka vyuo vizuri....

tuambie sifa ambazo zinampa JM edge over the others
binafsi simjui JM wala shughuli zake ni nini, kwa hiyo unaweza ukawa una point lakini kwa ajili ujaweka wazi watu wakawa wanabisha bure
 
Am not saying he's ready kutinga ukingoni now, am just supporting the point that, if he gets more experience na kupikwa a bit more, he can be a potential future leader and a good example kwa vijana wengine.

Kikwete alipikwa kwa miaka kumi pale Wizara ya Mambo ya NJe bila kusahau post nyingine alizoshika sijui Fedha, Maji na Madini lakini angalia tuko wapi!!
 
Ok now Semilong (sorry i guess i got your name right)...@ lets not discuss about people lets discuss about ideas...maana kuna wengine wako negative about this guy JM!.....Hata nikisema nitoe wasifu wake still watu hawatakubaliana naye so i guess kilichobakia ni kuongelea ideas only! labda hiyo itafaa badala ya kumuongelea JM as a person!...
 
Kind of, lakini hazija kaa vizuri bado, vipi na wewe umepotea kidogo...


Nipo shosti!....nilikuwa busy kidogo si unajua tena!....kazi na ma-hang over basi weeh!.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…