January Makamba: A New Generation Leader!

Maaaaambo!, we lete tu, utuone tulivo wanawake wa shoka...stronger than some few men in here, wasipotajwa kidogo tu wanaanza kuweweseka na ndimi kuwatoka...

Hahaha umeni chekesha. Poa dada angu.
 
Mlugulu tena?

haya wee...

hahahaha YE mlugulu ni term!......
Ni kama navyomuita ICADON Kashaija lakini siyo muhaya wala jina lake siyo kashaija....hahahahahah!.....I am too much uh!.....
 
Kelly01, du kweli we mnyalu....pumguza hizo hasira dada....people talk.
Usije ukatuaribia shughuli hiyo weekend au wewe usije jiaribia brownie points au?

ebana huyo jamaa (uwiano) lazima nije nimfanyizie aisee....anajifanya mjanja sana
 
Kerl inawezekana huijui vzr familia ya makamba hususani watoto wake! Juzi tu mzee makamba kakana kumjua mwanae Ally kwa sababu amefukuzwa kazi ya uhakimu mkazi moshi! Tek kea na hoja zako!

First of all...ndiyo kwanza una post moja tu ..alafu unakuja kunifundisha mimi jinsi ya ku tek kea hoja zangu!@......wewe acha kuparamia vivuli kijana....hujui watu wana discuss nini unakuja tuu bila sera gadamit!.....akafu for the record my name si not kerl!....go figure!...

Kama makamba alimkana mtoto wake Ally so whats the big deal haongelewi Ally hapa anaongelewa January makamba as next generation leader!....get it?!....
 

Duh dada Kelly if I was the guy ninge ogopa kurudi JF. Kweli wanawake wetu wa kiafrika wanajua kumuaibisha mtu lol.
 

this is celebrities forum( where people are discussed) kama unataka ideas na huyu ni mwanasiasa mpeleke kwenye jukwaa la siasa
 
Am not saying he's ready kutinga ukingoni now, am just supporting the point that, if he gets more experience na kupikwa a bit more, he can be a potential future leader and a good example kwa vijana wengine.

Kui mi naona uko infatuated na JM. Watch out, kina mama wengi walimpa kura JK kwa infatuation na smile yake. Sio mbaya lakini kawateua teua kwenye nafasi za kitaifa ... ila ndio hivyo tena nchi inazama ... inaendeshwa na mafisadi.

Ila kwa nafasi aliyofikia JM nitakubaliana na wewe kwamba ana potential. It's up to him to exploit that potential.

By the way, the guy hajaingia hata Bungeni wananchi tukapata kusikia huo uhodari wake wa kuongea ... au kukamata executive position tukaona utendaji. So it's too early to start betting.
 
Ally ni yule Hakimu Moshi mjini?mbona amefanana sana na mzee Makamba basi na JM mwambie apunguze kulewa ni aibu mtu ufukuzwe kazi kwa ulevi.
 
He looks suspect...the 'how u doin' type...kinda zesty...fruity...
 
He looks suspect...the 'how u doin' type...kinda zesty...fruity...

Haha umeniacha hoi babu duh!!

Ila wanaosema huyu dogo handsome nao metre zao za kupima uhandsome ziko chini sana (No homo).

Kuna mtu ana text/audio/video ya hiyo hotuba aliyotoa JM kwenye huo mkutano wa CCM?
 
Haha umeniacha hoi babu duh!!

Ila wanaosema huyu dogo handsome nao metre zao za kupima uhandsome ziko chini sana (No homo).

Kuna mtu ana text/audio/video ya hiyo hotuba aliyotoa JM kwenye huo mkutano wa CCM?

Halafu eti wanadai ana workout....kwikwikwiiiii....siijui workout plan yake ikoje lakini hiyo body sii ya mtu anaye workout....but like you said...kila mtu ana viwango vyake...

Kui seems to like the 'how u doin' type....
 
With all due respect,katika zama hizi ambazo tumekuwa tukisikia mapenzi ya jinsia moja yakizidi kushamiri huko nyumbani inatatizo kuona a man anatoka povu kumtemtea/kumremba another man.....

Tukiweka hilo kando,kama Januari Makamba ameshindwa kumudu binti alomzalisha to an extent binti huyo akaishia kuwa mithili ya dada poa mitaa ya Four Ways,Masaki,nk what should we expect of him kwenye uongozi mkubwa zaidi?Put it this way,jukumu lipi kubwa zaidi:kum-mantain baby mama wako au kutumikia Watanzania milioni 40+?

Sijui ni unyonge au kujikomba....NEW GENERATION in what sense?
 
Halafu eti wanadai ana workout....kwikwikwiiiii....siijui workout plan yake ikoje lakini hiyo body sii ya mtu anaye workout....but like you said...kila mtu ana viwango vyake...

Kui seems to like the 'how u doin' type....

It's all in the head dear...if you know what I mean...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…