January Makamba: A New Generation Leader!


I think he has a blog too right?
 
We also want to hear him. Kui uta nunua mbuzi kwenye gunia kisa muuzaji kasema kamuona huyo mbuzi na anafaa?

Mwana F, for now, we can judge him by his work, that's why nasema, when the time comes, na akiwa amekomaa vizuri, na pia by then tutakuwa tumemsikia vizuri, he can be more that able.
 
Blog yake niya maudhui gani haswa? Maana siwezi kwenda Michuzi kusoma blog yake kisha nimjudge kwamba anaweza uongozi?

Bwana wewe!, nawe, blog yake haiko michuzi. Atakuwaje na blog kwa michuzi?? ebu itafute vizuri...
 
Mwana F, for now, we can judge him by his work, that's why nasema, when the time comes, na akiwa amekomaa vizuri, na pia by then tutakuwa tumemsikia vizuri, he can be more that able.

Ok what is his work for now which you are judging him by? Na kama umesema hi has the potential to be a future leader then it means you have seen something now, am I right? Kama bado hajafanya kitu for now kuonyeshesha haswa uwezo wake as you have implied then isn't it premature to proclaim now that he can be the future of Tanzanian leadership? Lakini I know you have your reasons for supporting him, although I don't see it now but I respect your opinion.
 
wakuu heshima mbele hamna lolote kwa huyu jamaa hizi ni kampeni tuu mkataba wake unakaribia kwisha baada ya pande alilopigiwa na dingi wake
hamna kitu huwezi kumfananisha na wengine waliopita kama
1, mzee sozigwa
2. Timothy apiyo
3. Dr maiga

hizi ni kampeni za kibwege tuu anafaa kwa nini ?
Huyo jk mara ngapi inabidi abadilishe hutuba kwa kuwa walifikiria wrong
ishatokea juzi juzi tuu alipohutubia bungeni sasa who is responsible
all team has to be blamed include him
kama anajiona anafaa akagombee ubunge tanga mjini
 
I've heard him speak, and I liked his views especially on politcs.

Heheh kuongea tuu? Watu wangapi wanajua kuongea na kupangilia points lakini kwenye uongozi ni weupe?
 
Heheh kuongea tuu? Watu wangapi wanajua kuongea na kupangilia points lakini kwenye uongozi ni weupe?

Mfano mzuri JK. Akiongea na kuuza sura he looks very presidential lakimi kwenye utekelezaji sasa.........need I say more?
 

hata hivyo hiyo kazi ya kumshauri raisi aliipata kwa kushindanishwa na nani?
 
Mkuu unampigia debe au, au do nyie kundi la mafisadi, hujui sisiemu inaongozwa na mafisadi, utatwambiaje mambo ya makamba hapa.
Toeni hii thread haraka, usije kutichafua akili hapa,hamna cha makamba wala nani wote mafisadi.
 
Mfano mzuri JK. Akiongea na kuuza sura he looks very presidential lakimi kwenye utekelezaji sasa.........need I say more?

The guy is smart and seems to have a great potential, let him get some more experience and may be he'll face some challenges on the way, and when time comes lets give him a chance and see, then we will be able to judge if he'll do a bad or good job. But, let's give him a chance first and see how he'll perform.
 
We can't judge a person by someone else's mistakes. Mmekazana kusema mbona JK alikuwa hivi na vile. JK na Jm are two different personalities, how can you judge JM from JK's work perfomance?? It's not right and it's not fair. There are two different people. JK had his own views, na JM has his own views. JM is smart enough not to repeat mistakes made by others, and am sure he'll be careful not to repeat same mistakes.
 

Hiyo experience unayozungumzia ni hipi? Maana tukimchukulia JK, alianzia Lindi uko kama katibu wa CCM akapanda mpaka kuwa naibu waziri na baadaye waziri kamili, wizara ya mambo ya nje pekee yake amekaa miaka 10 lakini hmmmm!!

Sasa tukirudi kwa JM, unasema ni smart,ana potential and whatnot, sie tunaomba utuonyeshe kazi zake au maandiko yake alafu tutajudge wenyewe, is that too much to ask?
 

Nime jaribu kuomba ime shindikana. Now I just take her word for it na kusubiri nini kijana JM ata fanya.
 

E. it's not too much to ask, I said before I don't have his work in writting, if you want to see something in writting do your homework, man!
 
Jamani majority yetu hatukubaliani na January credebility sababu ya his last name au his resume?
January qualified for a job, he is smart and he has a bright future ahead of him. If he decide to work hard for the people of Tanzania.

January is not part of Old dirty Tanzania politics, he spent most of his adulthood in US. The western civilization shaped his mind different compare to majority of Mafisadi kids. He is humble and a go geter.

For those who said amemshauri nini JK, then ask your self umeisaidia nini Tanzania?
 

Daaamn!,... wewe sasa ndo unanena...hebu waeleze vizuri..

Thanks maaan!, you put the last nail on the coffin!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…