MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
I've heard him speak, and I liked his views especially on politcs.
We also want to hear him. Kui uta nunua mbuzi kwenye gunia kisa muuzaji kasema kamuona huyo mbuzi na anafaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I've heard him speak, and I liked his views especially on politcs.
Dada kui at least mimi unaweza kuni judge kwa post zangu za JF na kusema kama nafaa or not. Lakini huyo JM tuna nini cha kumpimia? Tuna taka material kuona hiyo intelectuality yake ambayo nyie mmeiona. Mimi siwezi kusema anything about the guy being a good leader kwa maana simjui, sijawahi kusoma material yake yoyote na wala sija wahi kumsikia akiongea. Mkileta vitu kama hivyo ndiyo tuta weza kujudge vizuri dada yangu. Seeing is believing Kui and I ahven't seen anything yet.
I think he has a blog too right?
We also want to hear him. Kui uta nunua mbuzi kwenye gunia kisa muuzaji kasema kamuona huyo mbuzi na anafaa?
Blog yake niya maudhui gani haswa? Maana siwezi kwenda Michuzi kusoma blog yake kisha nimjudge kwamba anaweza uongozi?
Mwana F, for now, we can judge him by his work, that's why nasema, when the time comes, na akiwa amekomaa vizuri, na pia by then tutakuwa tumemsikia vizuri, he can be more that able.
I've heard him speak, and I liked his views especially on politcs.
I've heard him speak, and I liked his views especially on politcs.
Heheh kuongea tuu? Watu wangapi wanajua kuongea na kupangilia points lakini kwenye uongozi ni weupe?
Kuandaliwa siyo lazima uwe kwanza ww mbunge or so ila kwanza unaanzia chini then unapanda juu so as yeye JM kwanza anaanza kuangalia mazingira ya Ikulu yakoje kwa kuwa mwandishi na mushauri wa raisi.....then we carry on from there...wewe sana sana kaka yangu mwanF unataka kujua nini na kuamini kuwa jamaa ni kichwa?....
Mfano mzuri JK. Akiongea na kuuza sura he looks very presidential lakimi kwenye utekelezaji sasa.........need I say more?
The guy is smart and seems to have a great potential, let him get some more experience and may be he'll face some challenges on the way, and when time comes lets give him a chance and see, then we will be able to judge if he'll do a bad or good job. But, let's give him a chance first and see how he'll perform.
Hiyo experience unayozungumzia ni hipi? Maana tukimchukulia JK, alianzia Lindi uko kama katibu wa CCM akapanda mpaka kuwa naibu waziri na baadaye waziri kamili, wizara ya mambo ya nje pekee yake amekaa miaka 10 lakini hmmmm!!
Sasa tukirudi kwa JM, unasema ni smart,ana potential and whatnot, sie tunaomba utuonyeshe kazi zake au maandiko yake alafu tutajudge wenyewe, is that too much to ask?

Nime jaribu kuomba ime shindikana. Now I just take her word for it na kusubiri nini kijana JM ata fanya.
Jamani majority yetu hatukubaliani na January credebility sababu ya his last name au his resume?
January qualified for a job, he is smart and he has a bright future ahead of him. If he decide to work hard for the people of Tanzania.
January is not part of Old dirty Tanzania politics, he spent most of his adulthood in US. The western civilization shaped his mind different compare to majority of Mafisadi kids. He is humble and a go geter.
For those who said amemshauri nini JK, then ask your self umeisaidia nini Tanzania?