January Makamba: A New Generation Leader!

Y'all!

Did you guys hear mtanganyika??...that's what am talking about y'all.

He is not fisadiii!, and he has different mentallity, si kama most of our viongozi au watoto wao. He is different, period.

Mtanganyika, thanks again maaaan!
 
Naona tunarudi enzi za wafalme na familia zao.
Mwalimu angeendekeza hayo naona ata akina Kikwete wala Mkapa wasingekuwemo umo katika safu za uongozi.
Sipingi if he is good well and fine ila kama ndo mzazi anajaribu kumtafutia mtoto ajira thats bad kwa kweli.
Bse ishakuwa mtindo sasa kila kiongozi kuchipusha shina la mtoto
 
he is smart

Mnasema he is smart...he is smart...okay.....wekeni grades zake za shuleni hapa? Halafu he is smart...who is dumb?

Ana akili nyingi sana...okay....ameshawahi kuja na kanuni yake mwenyewe kama Newton au Einstein?

And is he the smartest Tanzanian? or is he the smartest in the world?
 
E. it's not too much to ask, I said before I don't have his work in writting, if you want to see something in writting do your homework, man!

Ebo!! yashakuwa hayo tena? sasa si wewe ndio unasema yuko smart lakini kuprove inakuwa mgogoro. Kwa mwendo huu kweli tutafika?
 

Kwani huyo January ana miaka mingapi? alafu kuna fisadis wengi tuu wamekaa nje ya Tanzania kwa miaka mingi kuliko ata huyo JM lakini walivyomezwa na system tumeona madudu yao.
 
Happy monday ya"ll....I am so awake!...Yipeeeee!....

How you doing?
 
Last edited:
Ebo!! yashakuwa hayo tena? sasa si wewe ndio unasema yuko smart lakini kuprove inakuwa mgogoro. Kwa mwendo huu kweli tutafika?


Ok naona watu wamempiga sana vijembe JM…Ok now what about Freddy Macha “FM”….maana watu inabidi tupendekeze mtu right kwa kiwango alichokuwa anon a wasifu…This guy as far as I know amezaliwa july 20.1968 ni mchaga ana amesoma primary moshi wazee wake walikuwa wakulima I think….hii ni kutokana na wasifu wake ninaoujuma mimi…ok then Makererw university I think Mwanakijiji atakuwa anamfahamu maana wamesoma wote makerere huko Uganda.Master yake amesomea university moja huko Ireland nap HD in havard amefanya kwenye sekta mbali mbali za serikali wizara ya mambo ya nje nay a ndani,UNDP na sasa ni political correspondant wa CNN inside Africa,…….
Ok that is all I have haya…what about this one as our new generation si mnataka mtu aliyefanya more than Ikulu>?
haya debate!....
 

The thread is about JM.
 

Kelly01
Waache hao usiwachanganye humu, hoja hapa ni JM
 

Michango ya kuisaidia Tanzania hiko mingi tu. Nikisaidia wazee wangu au ndugu zangu kwenda shule, nitakuwa nimetoa msaada mkubwa kwa taifa.

Sujuhi mwenzetu kuisidia Tanzania unaifafanuaje?
 

Companero:

Umenisaka mpaka huku? kwikwikwi. Anyway, Generation P.I (Post independency) inatakiwa kufanya kweli lakini kuna masharti.

Hiyo quote yangu nadhani niliitoa nikiwa darhotwire, toka niondoke kule nimepitia transformation nyingi sana. Mojawapo ni kuelewa kuwa kuna kitu kinaitwa societal traps.

Wazee wetu wengine wakiwa bado wameng'ang'ania madarakani wame-create societal traps nyingi na kwa bahati mbaya zinarithiwa na generation P.I. Hivyo nina wasiwasi na usemi wangu wa mwanzo.
 
I don't know him personally, please don't get me wrong... I just like the guys's smartness and his ability to focus in his work, unlike many young people out there who have the potential lakini wanachezacheza tu.

naomba unieelezee
1. work - kazi zake
2. ability to focus - uwezo wake katika kazi zake.....
 
naomba unieelezee
1. work - kazi zake
2. ability to focus - uwezo wake katika kazi zake.....

Mkuu hapo uta zunguushwa. Tume uliza mpaka tume choka. ukiuliza sana defence ya kwanza ni kuwa una wivu. hamna anaye toa hoja ya kwa nini anafaa bali wanaongelea personality yake na kuna baadhi hata hawamfahamu binafsi kujua personality yake.
 
Mkuu hapo uta zunguushwa. Tume uliza mpaka tume choka. ukiuliza sana defence ya kwanza ni kuwa una wivu. hamna anaye toa hoja ya kwa nini anafaa bali wanaongelea personality yake na kuna baadhi hata hawamfahamu binafsi kujua personality yake.

Si umeshaambiwa kuwa jamaa ni smart...sasa unataka nini tena?
 
Mkuu hapo uta zunguushwa. Tume uliza mpaka tume choka. ukiuliza sana defence ya kwanza ni kuwa una wivu. hamna anaye toa hoja ya kwa nini anafaa bali wanaongelea personality yake na kuna baadhi hata hawamfahamu binafsi kujua personality yake.


MwanaF!....That is a lie hamna mtu aliyewazungusha bali mnaambiwa then mnakuwa hamsomi and you kee asking ........same question over and over sasa sijui ni jibu gani mnalotaka so far!.....then at the end of the day mnasema watu wako ........so defensive....GT ameshawapa wasifu wake then akasema je na nyie mnaweza kujielezea what makes you think hafai?...na the only jibu linalotoka ni kwamba ana copy and paste na kuandika hotuba mbovu kwa rais....that's it kwa kweli?..........kwa kweli nyie wanaume mmenisikitisha sana inaonekana mna insecurity na JM!,.,.....

XOXO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…