Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kijana anamelemeta.
he is smart
E. it's not too much to ask, I said before I don't have his work in writting, if you want to see something in writting do your homework, man!
Jamani majority yetu hatukubaliani na January credebility sababu ya his last name au his resume?
January qualified for a job, he is smart and he has a bright future ahead of him. If he decide to work hard for the people of Tanzania.
January is not part of Old dirty Tanzania politics, he spent most of his adulthood in US. The western civilization shaped his mind different compare to majority of Mafisadi kids. He is humble and a go geter.
For those who said amemshauri nini JK, then ask your self umeisaidia nini Tanzania?
Ebo!! yashakuwa hayo tena? sasa si wewe ndio unasema yuko smart lakini kuprove inakuwa mgogoro. Kwa mwendo huu kweli tutafika?
Ok naona watu wamempiga sana vijembe JM Ok now what about Freddy Macha FM .maana watu inabidi tupendekeze mtu right kwa kiwango alichokuwa anon a wasifu This guy as far as I know amezaliwa july 20.1968 ni mchaga ana amesoma primary moshi wazee wake walikuwa wakulima I think .hii ni kutokana na wasifu wake ninaoujuma mimi ok then Makererw university I think Mwanakijiji atakuwa anamfahamu maana wamesoma wote makerere huko Uganda.Master yake amesomea university moja huko Ireland nap HD in havard amefanya kwenye sekta mbali mbali za serikali wizara ya mambo ya nje nay a ndani,UNDP na sasa ni political correspondant wa CNN inside Africa, .
Ok that is all I have haya what about this one as our new generation si mnataka mtu aliyefanya more than Ikulu>?
haya debate!....

Wewe si ndio ulidai kuwa nchi hii itaendelea baada ya kizazi cha watu waliouona Ukoloni kupita, haya kizazi chako cha Uhuru ndio hiki cha kina JM kinarithishwa mikoba na JK: http://issamichuzi.blogspot.com/2009/06/vijana-wa-ccm-katika-vikao-vyao-vya.html#comments
I don't know him personally, please don't get me wrong... I just like the guys's smartness and his ability to focus in his work, unlike many young people out there who have the potential lakini wanachezacheza tu.
naomba unieelezee
1. work - kazi zake
2. ability to focus - uwezo wake katika kazi zake.....
Mkuu hapo uta zunguushwa. Tume uliza mpaka tume choka. ukiuliza sana defence ya kwanza ni kuwa una wivu. hamna anaye toa hoja ya kwa nini anafaa bali wanaongelea personality yake na kuna baadhi hata hawamfahamu binafsi kujua personality yake.

Si umeshaambiwa kuwa jamaa ni smart...sasa unataka nini tena?
daaaah!,,,LOL!....
Yeah...the guy is our Einstein....he is super smart with an IQ of 200!!!!
You bet!....asikukatishe tamaa cuppy!..hang in there....LOL!