January Makamba: A New Generation Leader!

January Makamba: A New Generation Leader!

Chief--u have made your point. Sawa! although I should point out that in doing so, u have decided to cherry-picking my post and taking it out of contents (understandably so). Look, I "miswrote" linking 50+ pages and intellectuality but the point is there is a buzz around him which in modern politics is crucial for any ambitious aspirations especially for 2015.

Cutting long storoo short, the argument of who is smarter sijui maninini! Yo-I would like my president to be smart. Regardless if there is equivalent other smart people. And "kuwa pembeni ya JK, kushiriki vikao, kuonana na viongozi wengine wa kimataifa etc" are one of the experience that I expect my President to actually have.

Hahaha huyo bosi wake [JK] wakati waziri wa mambo ya nje alikuwa anakutana na viongozi wa kimataifa kwa miaka kumi na kashiriki vikao vingi vya nje na ndani ya nchi lakini mpaka leo hajui kwa nini raia wengi wa Tanzania ni maskini.

Toeni facts wacheni mambo ya sijui akipikwa sijui akifanya nini, mtu yoyote mwenye nia akipikwa na kuandaliwa vyema anaweza kuwa kiongozi mzuri.
 
I responded to your post inch by inch, and if that is cherry-picking i am glad you feel that way mazee. Again i remain with my stand that number of pages does not predicts intelligence or 'buzz', it is just people wanted to know whats the depth in the thread, about Makamba only to find silly argumentation here and there.

To attend meetings could be an experience, but thats is not an edge. There so many dudes following Mr. Vasco Da Gama here and there, in his fruitless advantures and exploration to take a foto with Mr. Seagal or attending NBA game. Lets not discuss how silly those trips and meetings could be.You and i were not there in the first place.

If we can agree he is not the smartest(as you just care less that he posses the edge over others), and since those who said that he is smart have failed to show how they come into that conclusion, then we are now we have narrowed our discussion big time. At this moment, this is a first order problem, we can associate the conviction 'Makamba - a new generation leader' into a personal opinion, adoration, whim, or all combined,..and i'm sorry to say then thats make the thread pointless.

Mwamba--this is an argument to nowhere. You agreed earlier that he is smart and you brought about the notion that there are tons of smart folks who aren't Presidents. And now you are accusing us for wrongly identify him as a smart. And basically saying that we are just duped with personal adorations. Sawa! but u simply ignored that he went to George Mason, got prestigious fellowiships, Intern @ Jimmy Carter Center and worked in Foreign Affairs before went to Ikulu. Its safe to conclude that the kid is smart enough @ least for my standards.

And by the way--if you have been looking into voters habits and trends things you pointed out as making this thread pointless are what weigh heavily on majority of voters minds. Personal opinions, adoration, whim (whatever that means) will get you the votes and thats why Jakaya is a President and Sarah Palin is a force in ultra right wing of GOP. Small things makes a politician--since you are a cherry-picker, I should point out that I am not comparing January to Jakaya or Sarah, I am saying that personal adorations weight heavily in voters minds and seems like he has that going on. Just from small jamii forum pool.
 
Ninachosikia sana kuhusu huyu Makamba kwamba ni smart. Eti kafanya kazi kwa Jimmy Carter (hiyo Carter center yenyewe imechoka tu) so he must be smart.

Kwani kasoma wapi huyu Makamba...Harvard? Yale? Princeton? Cornel? Brown? UP? Ni Rhodes Scholar wa Oxford?

How smart is he really? like with an IQ of 190?
 
Unajua kusoma vitanu kunakufanya upeuke kiali...wangapi humu wanasoma vitabu be real!....kwa mtu kama JM this dude ukitaka kujua kweli yupo focus nenda amazon.com alafu anagalia his wish list ya vitabu amabvyo ameshasoma na ambavyo bado anataka kusoma....ni kwamba anajiweka tayari for 2015.
 
Kusoma vitabu ina maanisha mtu ana jiandaa kugombea uraisi? Unless you know him personally na akakuambia that is the reason for him reading those books then your statement doesn't necessarily hold true.
 
Mpenzi lugha hiyo... fanya urudi Bongo kujipiga msasa!
 
Kusoma vitabu ina maanisha mtu ana jiandaa kugombea uraisi? Unless you know him personally na akakuambia that is the reason for him reading those books then your statement doesn't necessarily hold true.

wee MwanaF kila kitu about Jm upo negative nimeshakuzoea....wee unasoma vingapi kwa siku?...i know not necessarily kujiweka tayari bali kupeuka kiakili (unless nimesahau lakini kupeuka si ndiyo kukua au?..maana kibs kanisahihisha)

NB SIONGELEI VITABU VYA MAPENZI sijui fiction no....
 
Kupevuka dada angu neno kupeuka doesn't exist. Dada Kelly me got nothing against him but hoja zingine zinani chekesha tu. Kusoma vitabu ni kujiandaa na uraisi? You couldn't answer that. Ndiyo maana nikasema unless you know him personally huwezi kusema anasoma kuwa raisi. Kusoma kupevuka does not necessarily mean kujiandaa na uraisi. My sis mimi nasoma at least one book per month na kusoma magazeti kila siku...........maybe na mimi nataka uraisi.

P.s. I got nothing against the man. It's just that if a person might be my future leader I have the right to try and know how he is qualified. Wasn't that the purpose of your thread?
 
ili mladi ujumbe umekufikia ndiyo kicnahotakiwa au siyo?.
Na hapo bado umezidi kuchapia tu...Well if JM atabarikiwa kuwa kama vile, wewe hutokuwa mbali kuwemo kwenye list yake.. sasa hizo errors.... MMhm
 
Mwamba--this is an argument to nowhere. You agreed earlier that he is smart and you brought about the notion that there are tons of smart folks who aren't Presidents. And now you are accusing us for wrongly identify him as a smart. And basically saying that we are just duped with personal adorations. Sawa! but u simply ignored that he went to George Mason, got prestigious fellowiships, Intern @ Jimmy Carter Center and worked in Foreign Affairs before went to Ikulu. Its safe to conclude that the kid is smart enough @ least for my standards.

Mazee i see. You are just too biased to the point of no return. You can't comprehend arguments i have presented. I am not surprised because it is very true that when a person is driven by whim, his/her objectivity evaporates.. and you have just proved that. Mazee this is what i said, read it with opened eyes;

Secondly, Ok lets assume(and of course, agree with you that) he is smart, but how many people are smarter than him?
.

Does that mean to you that i said he is smart? lol. I am here to seek reasons for your claims that 'Makamba - A new Generation Leader' and what do we get in return? story za Kalulu The Hare..no substance.

And by the way--if you have been looking into voters habits and trends things you pointed out as making this thread pointless are what weigh heavily on majority of voters minds. Personal opinions, adoration, whim (whatever that means) will get you the votes and thats why Jakaya is a President and Sarah Palin is a force in ultra right wing of GOP. Small things makes a politician--since you are a cherry-picker, I should point out that I am not comparing January to Jakaya or Sarah, I am saying that personal adorations weight heavily in voters minds and seems like he has that going on. Just from small jamii forum pool.

AT LEAST you have agreed to embrace pointlessness. I see nothing worth it discussing when someone support illogical statements and/or conclusion. We are not talking about votes mazee. We were focusing our attention to why you guys think Makamba fits the shoes of the Presidaa. Those twists and turns of yours are meant to avoid the bottomest question which is what an edge does he has? SO FAR you guys have given zero reason..just blah blah blah blah blah blah..
 
Let us all be honest kwa wote mliochangia kwenye hii thread .. was this discussion really worth it ? kweli jamani ? Si yangeisha tuu kwamba interview imefanywa basi .. sasa kweli muda wote huo mnamjadili mtu? Msaidizi wa Rais? na mnaongelea uraisi 2015? kweli hatuna hoja za maana za kujadili jamani? Mbona JF mara hii inajishusha hadhi kiasi hiki? Huyo JM mwenyewe anaendelea na maisha nyie hapa ooh anafaa hafai ni smart sio smart .. kasoma alright schools hajasoma..... kweli watanzania wenzangu?tumefika hapa kweli?msaidizi wa Rais? halafu tunasema sisi ni think tank kweli ? Ili hali tunatoa jasho kujadili kama msaidizi wa rais anafaaa kuwa rais 2015? ndudu zangu tumefikaje hapa? Nilidhani uraisi ni jambo kubwa sana kumbe ni rahisi hivyo? JF please...let us be serious. Hatat huyo JM aliko anawacheka mnavyotoana macho ... acheeni hizooo
 
Makamba January, unaweza kufanya mengi zaidi ya hayo, unanafasi ya kuuonyesha Ulimwengu kwamba Vijana wanaweza!!!, kama alivyofanya Mhe. Salim A. Salimu kuwa Balozi akiwa na miaka 22 tu. Unajua PENGINE Uchapa kazi wako ndiyo sababu Mhe. JK amesema Mungu akimjaalia kurudi tena hapo Kwenye Kiota atahakikisha Vijana wanakamat Nchi. Keep It up nimefurahishwa sana na jnsi ulivyoeleza Maisha yako. Kwa Waandishi wa Kimataifa wenye taaluma ya Uandishi wa Habari (SIO MAKANJANJA WA TANZANIA WAGANGA NJAA) Historia yako ingewekwa kwenye Kitabu Lakini hapa TZ waaaaapiiiiiii!!!!!, hakuna Waandishi kuna wale walioshindwa darasani sasa wanakimbilia kunukuu maneno ya watu waliosema. Utakuta habari nyingi zinaandikwa " alisema, akasema, akaendelea kusema, akasisitiza, aliongeza, alihimiza, ali!!!!!!!!!!!!!, basi ndicho wanachojua.

HONGERA SANA
 
Get off his dyck already, can't you see he is married.

Viandishi navyo kwa softball sessions!
 
January hongera, kweli kabisa vijana sasa tunatakiwa kuingia kwenye siasa. Vitendo vinahitajika jamani, sio kujadili tu online.
mfano tumeshauona kwa January na Mashaka, enyi vijana hima kwenye siasa.
 
Asante Pretty, waambia vijana, 2010 ni mwaka wao, kino Zitto wameshaonyesha njia, vijana wengine fuateni njia.
January nenda mwanangu nenda kampumzishe Mzee Shelu na kwemye line-up ya 2010 utakuwemo JK kashawachoka wazee, atawabakiza wachache tuu wa Utu uzima dawa.
All the best.
 
Back
Top Bottom