January Makamba: A New Generation Leader!

Kiruu! Hizi ni Kampeni. Si aseme anataka nini! why beating arround the bush?
 
kweli kijana anaandaliwa teh teh teh....
 
Kuhusu Amina chifupa hapo siku support. Tatizo kubwa la Tanzania ni mambo ya channel.. Kujuana kwingi hata kama mtu hana sifa. Kuna watu vichwa sana Tanzania lakini wameshindwa kufanikiwa kutoka na ukweli kwamba hawana channel. January makamba anaweza kuwa mtendaji mzuri au bright lakini ukishakua mtoto wa mkubwa hiyo inakuwa tabu maana kila utakachokifanya watu wataona kama vile umepigiwa pande.. Tujaribu kupinga kwa hoja na sio kwa chuki binafsi..Wapo kina Asanterabi malima wamefanya mambo makubwa kitaaluma lakini leo hii ukija kusikia jamaa ni waziri au mtu fulani utahisi kwamba kapigiwa pande lakini sio kweli.. Jamaa engineering dept zima kawa 1 ndani ya turkey 2005 huo ni mfano mmojawapo. Vichwa vipo TZ tuvikubali inapodili ata kama ni watoto wa Vigogo.. Kuhusu Amina chifupa division 0 form six nadhani sio kichwa kwa kweli....
 

for your information,vijana wenye profile kama hii,na zaidi ya hii hapa bongo ni wengi tu......mmoja kama huyu kapata bahati ya kutoka tu,haimaanishi tuegemee kwake.....acha unyonge pia,who's Obama?? watu wamepiga stori na Nyerere,Mandela,etc na hawajisifii.....
 


Fly like a butterfly and swing like a bee...Kila mtu anamtazamo wake...wee kama unaona kuwa vichwa weka data zako chini you know what i mean!...yote maisha..chill out ni mtazamo wangu!...

Word!....
 
mmesikia Mkewe Shelukindo kadai kuwa watu wa Bumbuli wanaendekeza USHIRIKINA?

tena huyu mama kasema hayo kwenye mkutano wa Hadhara!!
 
Nna wasiwasi hii thread ndo imempa 'fantasy ' za kufikiri na yeye anaweza kuwa President
 
Nimshukuru tu kwa kutuonesha vijana namna ya kufahamika kwa haraka subiri nifikishe 40, ila urais hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…