January Makamba: A New Generation Leader!

Tena your name & Kelly's came up in the JF superlady thread. Someone was asking why you two are not up for nomination.

Oh! really? sijaona hiyo...

Mi wataniweza na hili domo kaya langu?
 
lol sijaona cha zaidi ya picha......kama ni picha tu mkuu tunazo tuko na papa john paul na wengine wengi.....sijaona cha zaidi labda utauambie alipooongea na thabo mbeki aliongea nini? maana wewe ni contributer mkubwa kule kwenye blog yake.....

Nataka picha ya Mwamvita....
 
Nyani Ngabu,Kelly01,Mwanafalsafa1,

..mbona hakuna picha wala video clip kuonyesha kwamba January alikuwepo White House na ktk ujumbe wa Kikwete?

..huyu dogo Makamba akili anazo, lakini hili la kumzidi Kikwete,Membe,Itatiro,Sefue,Salva, ktk kupata attention ya Obama, naona kama anasingiziwa tu.
 
..huyu dogo Makamba akili anazo

Alipata division gani huyo form 4, form 6? Na undergraduate alihitimu na nini? Cum? Magna? Summa?

Maana kuna mtu hapa ziliibuka Summa Cum Laude na ziko kimya tu...
 
We Nanyni Ngabu unataka kuvunja ndoa za watu sasa, huyo Mwamvita si kaoelewa tayari. Namkumbuka enzi zile yuko Shaban Robert then Radio Majira.

Hotuba alizomuandikia rais zinapatikana wapi?
 
We Nanyni Ngabu unataka kuvunja ndoa za watu sasa, huyo Mwamvita si kaoelewa tayari. Namkumbuka enzi zile yuko Shaban Robert then Radio Majira.

Hotuba alizomuandikia rais zinapatikana wapi?

Acha uongo bana kasoma SRSS lini? Maana hata mimi nimepitia hapo na sikuwahi kumtia (no pun intended) machoni hata siku moja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…