January Makamba: A New Generation Leader!

January Makamba: A New Generation Leader!

Kwa mlio karibu na JM, je mwenyewe anataka nafasi za kugombea au mnaspeculate? Najua rafiki yake(Togolani) anapenda sana siasa.
 
William acha ujuaji wa usivyovijua!

Boston imekujaje? Jamaa amesoma (CSB St. John's) Minnesota na George Mason (Virginia). Soma hapa. Kwa nini unapenda kujikaribisha kwa kila asiyekujua, huoni unajiabisha?

Halafu usiseme Foreign wanafuata merits kwenye ajira. UN office ya hapo New York, kwa mfano, wamejaa Malecela's na relations wa Mongella. Na unajua, ukibisha ni kwa sababu inakugusa.

January could be a great future leader in Tanzania. I am sure there are a lot more young bright minds in this forum who could also be a great future leaders given a spotlight. That said lets discuss his qualities.

William is right in the sense he start in a school in Boston and then transfered to St. Johns University for undergrad and finished up his Masters at GM. Anyways lets discuss his potentials and not his personal life. Actually January is very humble and would not trash someone like some of us are trying to trash him.
Thanks Kelly for starting the conversation.
 
Watu wanampinga sana ndugu Januay Makamba (majority vijana wale wenye roho za kwa nini)...juzi hapa ndani ya white house January kapiga story na Barack Obama kuliko hata Obama alivyoongea na JK....hadi Obama mwenyewe kamkubali kuwa kIJANA January Makamba ni kichwa/Smart na ndiyo new generation leader of Tanzania au kwa maana nyingine Future leader wa Tanzania...kama akipikwa vizuri basi....olooo "Change is coming to Tanzania"

I sense love great admiration here....sio mbaya kumkubali mtu unayempenda ila hara hara usikwaze wengine. Mandhari umekuja kuonyesha hisia zako humu basi tegemea kuna watakaokubaliana na wewe na watakaopingana hadi kifo kiwatenganishe. Personally, sidhani January kajaa kiasi cha kufikiriwa heshima ya juu hivyo kwani history ya elimu si kigezo cha kumpata kiongozi bora...ukiangalia serikali ya JK asilimia 60 ya mawaziri ni wasomi ngazi ya Master na PHD pamoja na yote bado nchi inayumba kuliko kipindi cha Mzee Rashid ambapo walijaa viongozi walikuwa Royal to the party na elimu ndogo lakini nchi ilikuwa na ADABU YA HALI JUU.
 
This guy is a danger to national security, I know he is a rookie and all, but did he have to be so callously cavalier?

Sometimes purposely people distort the truth. Didn't you see that this was written by Salama and not January. You might not like january which its ok, but do not come here and distort the truth.
 
Mbona kazi anayoifanya hayusiani na masomo aliyosoma ,ama kweli hii ndio bongo
 
www.gmu.edu

sasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...

then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt
mbona vichwa vipo vingi tu TZ, mbona watu wanaofaaa wapo wengi tu TZ
samahani kama wewe haufai haimaanishi kama kila mtu hafai
na hao watu uliowataja hapo juu toa sifa zao za kufanya uwaone vichwa kuliko wengine binafsi siwaoni kama wanatofauti kama watu wengine
wacha kuweka majina bila kutoa sifa zao na mafanikio yao, alafu ukiulizwa unaanza kubwabwaja bwa bwa
eti watu wanachuki, justfy kitu ulichoandika
kila mtu ni potential kama wewe umekataa tamaa na maisha na kutegemea watu wengine wakukomboe, shauri yako
kweli wewe ni ujiamini na hilo ni tatizo kubwa sana....
 
mbona vichwa vipo vingi tu TZ, mbona watu wanaofaaa wapo wengi tu TZ
.....


Mfano wa Kichwa cha kuongoza Tz ni Uwiano Maalum, naweza kuwaongoza na nitawachapa viboko hadi mjue kufanya kazi kwa bidii maana yake nini, adhabu ya fisadi ni kunyongwa mbela ya halaiki.
 
DONT HATE THE PLAYA...HATE THE GAME


DSC_0136.jpg




IMG_0411.jpg


KWA STANDARDS ZA JF inaonekana ma hatters mmekuwa wengi sana

DSC_7117-1.jpg
IMG%5D
 
Ooooooo tate nane tane nane wabwanga tushikamane, nzeze weshu....
 
January could be a great future leader in Tanzania. I am sure there are a lot more young bright minds in this forum who could also be a great future leaders given a spotlight. That said lets discuss his qualities.

William is right in the sense he start in a school in Boston and then transfered to St. Johns University for undergrad and finished up his Masters at GM. Anyways lets discuss his potentials and not his personal life. Actually January is very humble and would not trash someone like some of us are trying to trash him.
Thanks Kelly for starting the conversation.

- Ahsante hakuna cha kuongeza!

Respect.

FMEs!
 
Mna la zaidi?
lol sijaona cha zaidi ya picha......kama ni picha tu mkuu tunazo tuko na papa john paul na wengine wengi.....sijaona cha zaidi labda utauambie alipooongea na thabo mbeki aliongea nini? maana wewe ni contributer mkubwa kule kwenye blog yake.....
 
i

Kaka/dada u cant compare January na Ridhwani point of correction kama unampima sawa na RIM then January hafai and he is not of that callibber,Rizy we all know tuliomaliza UD kuwa ni faliure,na alipokuwa HULL kwa ajili ya Masters inafahamika amefeli,kwahaiyo unless una withdraw msimamo wako kuwa January ni kichwa kama Ridhwani basi he is not the type of leadership we expect in future.

Commenting on January alone he is good na nina mfahamu kuwa ni kijana Bright na ana msimamo anweza kusimamia anacho amini no wonder alipotowa comment abt Nigeria Oil issue,that is January,but its wrong technically,ethically,na morally kumuweka kundi mmoja na Ridhwani kikwete.

2vhzyc3.jpg


MA MEEEEEEEEEEEEEN

 
Back
Top Bottom