January Makamba: A New Generation Leader!

January Makamba: A New Generation Leader!

Somebody said whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat?

The topic is back???!!.............................coooooooooooooooooooooooooooooooooool
 
Iwe waeke du. Neze waelewe. Ukilonga sana ngeuonekane umbada du.

Watu is this M?

Jana ulisema wivu wako kama wa ki puppy, let see it now...with this "topic"

But, remember that, "you're the man"
 
Naomba kusaidiwa maelezo zaidi, mwandishi wa hotuba huwa anafanya kazi ya ushauri as well? Kwa hiyo anakuwa mshauri wa rais kwenye mambo gani hasa? Manake what I know huwa kuna mshauri wa rais kwenye mambo ya uchumi, mshauri wa rais kwenye......etc etc..

Na kwa mtazamo wangu, kwenye suala la uchaguzi wa viongozi wetu, angalau tuwe tunawaona ona wakijifarangua huku nyumbani basi, sasa mpaka wakasemee kwa Obama jamani? How do you convince a poor Tanzanian kuwa JM is the right candidate? Am sure atapiga kura kumchagua kwa kuwa atakuwa under the umbrella of CCM, akipitia upinzani, kalas! Kingine kitakachompa kura labda ni wale wa nyumbani kwa kuwa ni kijana wa mzee Makamba, so one get elected through mgongo wa baba!

The guy isnt running for any political office
 
The guy isnt running for any political office

Game theory, hawa watu mbona wanaanza kuweweseka mapema hivi? sasa akiamua kuingia ulingoni si itakuwa kasheshe nguo kuchanika...
 
Nyie wote najua mna hate on JM!...mfano mzuri ni obama kaona raisi wenu kaenda pale kashindwa kuji represent kijana akachukua usukani akaendeleza maongezi...so lazima obama hapo akaona duh watanzania how come tumemchagua raisi hata anashindwa kupresent hoja yake kama ifuatavyo then huyu mwandishi/mshauri wake did done it reall well...na i doubt kama none of you can do that like present yourself really well and sell it...maana najua customer service tuu wengi wenu inawashinda...ila JM kaenda shule na kichwani zimo amegraduate na cumlade....

brb

Asante shosti
 
January could be a great future leader in Tanzania. I am sure there are a lot more young bright minds in this forum who could also be a great future leaders given a spotlight. That said lets discuss his qualities.

William is right in the sense he start in a school in Boston and then transfered to St. Johns University for undergrad and finished up his Masters at GM. Anyways lets discuss his potentials and not his personal life. Actually January is very humble and would not trash someone like some of us are trying to trash him.
Thanks Kelly for starting the conversation.
keep on dreaming...humu wenye mtazamo kama wako hakuna

what we have is a bunch of haters

lakini wakitokea mmoja moja you might have a meaningful discussion nao otherwise tegemea haters na hakuna atakaye kuja kumpinga JM based on his proffessionalism
 
True, true, heri mimi chearleader
 
Watu is this M?

Jana ulisema wivu wako kama wa ki puppy, let see it now...with this "topic"

But, remember that, "you're the man"

Kilugha hicho. Just happened to meet someone from "home". I was surprised to see this topic back. You know whether people talk bad or good about you it shows they are still interested in you. If he is as bad as they say(for thoughs who say so) why a they sweating before he even runs for anything? Na asante kwa compliment
 
I know, eh!
Hongera kwa kuongea lugha, mi ya kwetu nilishasahau...
 
True, true, heri mimi chearleader

You know I never knew of the guy before this thread was started. Ngonja nichambue mchele na pumba humu ndani nijue ukweli. But so far I only see personal attacks of people who don't even know him personally.
 
I know, eh!
Hongera kwa kuongea lugha, mi ya kwetu nilishasahau...

You know dada Kelly should really run for public office cause she really knows how to stir up a debate. Baada ya hii ya JM I need to start a special thread for her.
 
Kilugha hicho. Just happened to meet someone from "home". I was surprised to see this topic back. You know whether people talk bad or good about you it shows they are still interested in you. If he is as bad as they say(for thoughs who say so) why a they sweating before he even runs for anything? Na asante kwa compliment

ever wonder alikopetelea CHADEMA'S " wonder kid" bwana JJ MNYIKA?
 
You know dada Kelly should really run for public office cause she really knows how to stir up a debate. Baada ya hii ya JM I need to start a special thread for her.

Will be cool!
 
ever wonder alikopetelea CHADEMA'S " wonder kid" bwana JJ MNYIKA?

No katokea wapi? I'm hearing the guys name but I don't know exactly what he is about. Dah I think I need to find the right connections na mimi niitwe future leader.
 
2vhzyc3.jpg

MA MEEEEEEEEEEEEEN

GT,

Shikamoo!
 
You know I never knew of the guy before this thread was started. Ngonja nichambue mchele na pumba humu ndani nijue ukweli. But so far I only see personal attacks of people who don't even know him personally.

I know eh!, soo bizzare!
 
Back
Top Bottom